Mda gani unafaa?

Mda gani unafaa?

Status
Not open for further replies.

fundiaminy

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2009
Posts
354
Reaction score
52
nimekutana na vimada kibao lakini kila wakati hujiuliza niwape kama mda gani ndio niwape nambari yangu ya simu kwa minajili ya mawasiliano?
 
nimekutana na vimada kibao lakini kila wakati hujiuliza niwape kama mda gani ndio niwape nambari yangu ya simu kwa minajili ya mawasiliano?

Hao vimada huwa unakutana nao wapi na huwa mnawasiliana vipi (kwani by then hujawapa namba yako ya simu)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom