kanyasu well said...
ngoja niongezee kidogo..
nikiassume kama wawili hao ni wana ndoa ama wapenzi wanaoishi pamoja... muda muafaka utategemeana na malengo, mazingira, muda, mood na hali, majukumu, uwezo, afya, **element of surprise**, n.k
malengo: inategemea kama ni kwa kupeana raha ama kutunga mimba. Hilo likijulikana basi kalenda ya mzunguko wa uzazi wa mwanamke huzingatiwa, kwani zile siku 2 nyuma na mbele ya siku ya katikati ataweza kupata ujauzito (mwone dokta), ni vizuri kutumia kondom km hamjapanga kupata mtoto.
mazingira: je ni ofisini, nyumbani, nyumba ya kupanga:tape🙁kelele za mahaba), safarini, ukweni, kuna watoto au hakuna, n.k? kuna wapenzi wengine husisimuliwa na concept ya public sex au tuseme husisimuliwa na hali ya hatari na kuwa na machale mda wote, hivyo ofisini, ukweni au sehemu ya watu wengi huwa ni safi na muda ni pale watu wanapokua bize zaidi.... safarini inaweza kuwa ni muda wote kama mlienda kwa mapunziko. kuhusu suala la watoto mda mzuri huwa ni usiku wakishalala kwani unaweza washa redio kukinga sauti, kwa watoto asubuhi huwa ni ngumu kutokana na kashkash za maandalizi ya wao kwenda mashuleni.
muda: ni ya mchezo mzima! kwa wale wanaopenda pool table (game la dk 5) na wale wapendao soka (dk 90)..*:smile-big:he he hee si kila mtu anaweza dk90*.. Asubuhi, tendo huwa ni la haraka (quickie!!), wale wa dk 5 huwa na advantage kuliko wa dk90 (kwa wanaume) kwani hufika kileleni mapema.. kwa wanawake hutegemeana na hali aliyonayo au "matayarisho" na connection kati yao (wengi hawafikishwi kileleni):doh:... Usiku, ni muda mzuri kama hauingiliani na pt ya juu, kwani couple huweza kutayarishana siku kabla ama mapema kabla ya jioni, hivyo kupangilia vitu kama mlo, manukato na madhari ya chumba ambavyo huchochea ufanisi katika tendo.. pia hawatakimbizana na muda na kuhakikisha kila mtu anapata haki yake...
naona nikatishie hapo maana nimesema kidogo isije ikaonekana kama barua bure... ukitaka nimalizie nitaendelea...:smile-big: