D
DeletedMember281674
Guest
Mimi uwezi kunidanganya kino kuhusu ujinga wao.
Mfano wasanii na maisha yao na tabia mishangazi ni kino.
Dotto magari njoo uchukue dawa za ukimwi ili usije kuonesha kichaa chako steji ya ukimwi ulipofikia.
Nyumba za Wahaya zilianzia Kinondoni zikaendelea Manzese, baadae Buguruni, Tandika na Temeke zimefikiwa
Na Sasa hivi nasikia ni mwendo wa kupewa kwa Mpalange kwa buku keep, vijana wa Sekondari nao pia wanajipooza