Mda wa kipimo cha mimba kusoma

Mda wa kipimo cha mimba kusoma

Jocasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
474
Reaction score
595
Wakuu poleni na kazi,nauliza kuwa :UPT inaweza kusoma ndani ya wiki moja? Nisaidieni mawazo nahisi mambo hayapo sawa
 
Nashangaa huyu wangu two weeks zmepita lkn waapi!!
Ngoja niongeze dawa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda sio mimba, au mkojo uko'diluted sana, kama anataka kupima inashauriwa kutumia mkoja wa asubuhi tu ili kabla ya kunywa chochote.

Lakini pia mara moja moja, kuna tatizo moja wanaita Hydatidiform mole huwa homoni za hCG zinakuwa juu sana kwenye mkojo kiasi cha kwamba kipimo kinashindwa kusoma vizuri kinaonesha negative (false negative).

Ahsante kwa kunifahamisha hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom