MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Atakuwa ananyonyesha mtoto mchanga nyumbani!!! hataki uaribu
Hii nayo inaweza kuwa sababu, maana maziwa yanaweza kuanza kutiririka bure akaanza kumshangaa mwenzie, aendelee kubana hivyo hivyo mpaka mtoto amalize kunyonya ndio aachie