Mdada akiwa anakuangalia sana huku anajichekesha anamaanisha nini?

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Leo nimekaa sehemu karibu na genge la matunda akaja mdada mmoja anataka kununua tango akapewa akasema hapana mi napenda matango manene,baada ya kauli hiyo akaniangalia huku anacheka namimi ikabidi nitabasam kidogo akaendelea tena nipe na lile kubwa, akageuka tena akaniangalia huku anacheka safari hii nikamkazia macho bila kucheka, wakati anaondoka akasema ndio vitu vyangu hivi akaniangalia tena akaondoka anatikisa tako.

Kufika mbele kidogo akageuka akakuta namkodolea macho akatabasamu.

Mkuyenge ukapanda kwa hewa. Sasasijui anautaka au nini.
 
Tego hilo akija tena utanasa...atakufilisiii...atachukua matango bure kila siku
 
Mpe hela
 
Mnunulie Colgate.
 
Acha confirmation bias mkuu.

Joram Kiango, alikuwa akikuchekea siyo kwamba anakupenda bali yuko mbioni kukufumua ubongo.
 
Kuwa maqin katumwa huyo ukale asari kwenye nyuki
 
Usikute Ulivaa Nguo Imetoboka Makalioni bila kujua unatembea kwa confidence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…