Mhenga Gilona
Member
- Aug 19, 2017
- 93
- 88
Nimetaja sifa nyingi mkuu umeona hiyo tu ? Sijasifia macho bali najaribu kutoa taswira ya jinsi nilivyoUlipo jisifia macho, imenishangaza sana
Kuweka vigezo vingi ni mbwembwe mapenzi huwa hayachagui
Tunapotafuta huwa tunasema aliye single huwezi kusema nataka mpenzi wa mtu,utakuwa mchonganishi na mgomvi
Mkuu, ametaja na vipimo vya macho yake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu, ametaja na vipimo vya macho yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usije lalamika kama huyuView attachment 571103
Basi weka pichaNimetaja sifa nyingi mkuu umeona hiyo tu ? Sijasifia macho bali najaribu kutoa taswira ya jinsi nilivyo
Mkuu picha ni kwa yule atakayekuja PMBasi weka picha
Ni kweli ndiyo maana kipindi cha shule nilikuwa single kwa sasa nipo nipo ndiyo maana nimefika maamuzi haya
Bado sifa moja ambayo wanaipenda sisterz, mambo ya uchumi.Nimetaja sifa nyingi mkuu umeona hiyo tu ? Sijasifia macho bali najaribu kutoa taswira ya jinsi nilivyo
Hahahahaha dah umenikumbusha