Mdada aliye single namhitaji

Mdada aliye single namhitaji

Mhenga Gilona

Member
Joined
Aug 19, 2017
Posts
93
Reaction score
88
Habari mabibi na mabwana !!
Nimekuwa single kwa muda mrefu kwa sasa nimeona ni vyema kama nikapata mtu wa karibu wa kuweza kushare mambo mbalimbali. Hivyo naomba kama kuna mwanamke aliye single pia na angependa apate mtu ani-PM. Umri ni wowote ila isiwe zaidi ya 30,mimi nina miaka 25 kuelekea 26.
Sifa zangu ni mweusi wa wastani, mwili wa kawaida na ni mrefu. Tabia ni mpole na ninayejali kwa sasa nipo Dar
 
Usije lalamika kama huyu
20902343_143721689554597_8785112379970027520_n.jpg
 
Back
Top Bottom