Mdada anahitajika haraka

Mdada anahitajika haraka

Status
Not open for further replies.
Anahitajika dada mwenye elimu ya form iv an vi.
Awe mkazi wa dar es salaam.
Offic iko magomeni mapipa.
Awe anapanda gani moja kufika hapo au hapandi kabisa gari.
SIFA:
1.Awe mwenye kujipenda
2.Elimu form six or four
3.Anajua kingereza
4.Anajua kujieleza vizuri
5.umri kuanzia miaka 18-24.
6.mrembo na mwenye kujienda

KAZI
1.kutunza office
2.kupokea simu
3.kupokea wageni
4.kuweka taarifa kwenye computer,kutuma emails na kupokea.

NB kama hajui computer atafundishwa bure.

MAWASILIANO:
Phone:0713-810857
E-mail: imamu.njama@yahoo.com

Kwa email hiyo kaka kila mtu lazima awe na mashaka na ofisi yako huwezi pata mtu kiukweli nakuambia!!badilisha email na vigezo vyako vikizi matakwa ya waombaji tofauti na hapo umechemshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom