mdada ananiomba tudate baada ya kumsaidia

mdada ananiomba tudate baada ya kumsaidia

Habari zenu, kuna mdada nilifahamiana nae wakti npo kidato cha 5(kwenye kutembeleana kishule) na tumekuwa marafiki mpk leo. Mm kwa ss niko mwaka wa 3 bt pia nafanya kazi. Hyu dada wiki jana kanambia ana tatizo babake kadhurumiwa pesa na wafanyabiashara wenzake so yupo hoi kwa bed presha juu na hana pesa kwa sasa.dad akasema hana ada ya ya chuo na hana means ya kupata ela,ndugu wanamuahd bt amna chochte akaomba nimsaidie,coz ni rafiki yangu nikamtumia kias flan alipe c mwajua inalipwa kwa installments. Sasa dada anasema amegundua nna upendo sn na anaomba tuwe wapenzi. Cjajua nifanye nn waungwana naombeni ushauri!!

...ushauriwe vipi? wewe ndio unajua uzuri/ubaya na wasifu wake. Kama huna hisia nae mwambie ukweli badala ya
"ku pretend!"
 
Cjampenda kimapenzi,namchukulia kawaida 2
Kwanza ningekuuliza una rafiki wa kike ambaye ni mpenzi wako? Kama unaona ni wa kawaida basi usijiingize katika penzi na huyo mtoto wa kike bila ya shaka utakuja muumiza siku zijazo. Nakushauri endelea kumsaidia bila kijihusisha na penzi la huyo mdada.
Mwisho uzoefu unaonyesha kuwa mtu anayekupenda kwa dhati wewe unaweza usimpende kivile na wewe unayempenda anaweza asikupende kivile sasa kazi kwako utafute anayekupenda au kama uliyenaye anakupenda kiukweliiiii kabisa?
 
ungekuja kutuuliza kabla ya kumsaidia pia,hakuna wa kukusaidia kufanya uamuzi,amua mwenyewe!
 
Cjampenda kimapenzi,namchukulia kawaida 2
ni vema umwambie kwa upole humpendi na unamchukulia kama dada yako. ILA yeye kakupenda na akakutongoza kama vile nyie mnavyompenda binti na kumtongoza.
 
Kijana nafurahi sana na ulicho kifanya kusaidia mwenziwako hongera kwamoyo ulionao kwanza kabisa nauhakika ulimsaidia kibinaadam na sio kikumtaka ndio maana umepata wakatimgum kiuamuzi, tumia busara wakati wote kwanza jaribu kujiuliza kwa nafsiyako kama kama ulilofanya ni msaada au nimtego wakumpata kama ni huruma yako kibinaadam jaribu kumjuza binthuyo kuwa wewe hukufanya hivyo kwa matamanio bali kiurafiki lakini kama upo siriazi na mapenzi ya kweli nipe muda namimi nifkiri kwani hilijambo ni la mustakabali wa maisha baina yetu
kama utona mschana katulia unaweza kuwa nae lakini si kimatamanio jaribu kuchukuwa muda mrefu kujenga uhusiano wenu bila kumchakachua hapo nadhani umeelewa nnakusudia nini baada ya kujua tabia zake utaangalia mwenyewe je huyu atakufaa katika maisha ya endelevu na pia ujue shuleni anamaendeleo gani kuwa na uamuzi wa busara na uwe sahihi
nakutakia maisha mema
 
Habari zenu, kuna mdada nilifahamiana nae wakti npo kidato cha 5(kwenye kutembeleana kishule) na tumekuwa marafiki mpk leo. Mm kwa ss niko mwaka wa 3 bt pia nafanya kazi. Hyu dada wiki jana kanambia ana tatizo babake kadhurumiwa pesa na wafanyabiashara wenzake so yupo hoi kwa bed presha juu na hana pesa kwa sasa.dad akasema hana ada ya ya chuo na hana means ya kupata ela,ndugu wanamuahd bt amna chochte akaomba nimsaidie,coz ni rafiki yangu nikamtumia kias flan alipe c mwajua inalipwa kwa installments. Sasa dada anasema amegundua nna upendo sn na anaomba tuwe wapenzi. Cjajua nifanye nn waungwana naombeni ushauri!!
kama umeitoa kwa upendo na bila masharti ya kutarajia chochote...basi umishapenda..jipe muda ujiridhishe kuwa maamuzi utakayofanya yatakuwa sahihi..!:twitch:
 
Mkuu hiyo ni kwepa ya kurudisha deni
Angalia utakuwa Ka ATM soon
 
Utalipa ada mpaka uchanganyikiwe.we siku zote alikuwa wapi kukuambia hivyo.
Nani alikudanganya kwenye hela kuna mtu asiye na upendo?
Ushauri mimi sina amua mwenyewe kama unakamua au vipi?
 
Huyu anataka kulipa fadhila sasa mwonyeshe wewe ni mtu usietaka kulipwa fadhila kwa njia hiyo kama ana mapenzi ya kweli hapo ndio utajuwa.

Wewe kumbe hujamuelewa huyu rogi, yaani mpaka hili kulileta hapa ni kwamba dili amelikubali na analifurahia na mdada ameshakuwa shortlisted, hivi kweli rogi hajui neno hapana kwamba linatumika kama mtu hutaki au hukubaliani na kitu.
 
Mkuu hapa hakuna wa kukupa ushauri..., ushauri unao mwenyewe kwenye roho yako na feelings zako kwa huyo dada...
 
I am talking from experience na katika hili kina mama mnisamehe bure tu,ukweli ni kwamba mwanamke akikuomba mkopo ukampa we jua hiyo ni sadaka tu umetoa maana kwa kawaida huwa hawatulipi.

Labda hao unaowafahamu wewe sijui unaokota wa class gani lakini sisi wengine tukikopa huwa tunalipa fedha na wala hatutegemei fadhila nyengine.

Mbona huwa tunakopa mabenki?
 
Habari zenu, kuna mdada nilifahamiana nae wakti npo kidato cha 5(kwenye kutembeleana kishule) na tumekuwa marafiki mpk leo. Mm kwa ss niko mwaka wa 3 bt pia nafanya kazi. Hyu dada wiki jana kanambia ana tatizo babake kadhurumiwa pesa na wafanyabiashara wenzake so yupo hoi kwa bed presha juu na hana pesa kwa sasa.dad akasema hana ada ya ya chuo na hana means ya kupata ela,ndugu wanamuahd bt amna chochte akaomba nimsaidie,coz ni rafiki yangu nikamtumia kias flan alipe c mwajua inalipwa kwa installments. Sasa dada anasema amegundua nna upendo sn na anaomba tuwe wapenzi. Cjajua nifanye nn waungwana naombeni ushauri!!

anzia kwenye moyo wako, jiulize mwenyewe kwanza kuwa wakati unamsaidia ulikuwa na lengo gani. je ulitaka ku-take advantage ya shida yake kumjengea mazingira ya kumpata kimapenzi? au ulifanya vile kwa kuamini kuwa unapaswa kumsaidia kama ahtua ya ujirani mwema? je unasaidia wote bila kujali jinsia, au u-mwepesi kusaidia wasichana pekee kwa sababu ya uwezekano wa kulipwa mapenzi siku ukihitaji?

kama jibu utkalopata ni kuwa ulifanya kama jirani yake wakati ule alipohitaji msaada, basi hata ofa hii ya mapenzi usiikubali. ukiikubali, lengo lako lote litayeyuka moyoni mwako na heshima yako itashuka ndani ya moyo wako mwenyewe kwanza na ndani ya moyo wa huyo msichana pia. ila ukitaka heshima yako iwe kubwa moyoni mwa msichan huyo hata kupita ukubwa wa mlima kilimanjaro, basi usikubali mapenzi hayo aliyojitolea kukupa bure angalau kwa sasa. ndipo atakuhuisha moyoni mwake siku zote za maisha yake na kulitaja jina lako bila kukoma na kumtukuza Baba yetu aliye Mbunguni daima kwa ajili yako. nawe baraka zitakujilia nyumbani kwako hata pasiwepo nafasi ya kuhifadhi kwani ghala zako zote zitafurika wingi wa mali na kila moyo wako unacholilia kukipata.
 
Habari zenu, kuna mdada nilifahamiana nae wakti npo kidato cha 5(kwenye kutembeleana kishule) na tumekuwa marafiki mpk leo. Mm kwa ss niko mwaka wa 3 bt pia nafanya kazi. Hyu dada wiki jana kanambia ana tatizo babake kadhurumiwa pesa na wafanyabiashara wenzake so yupo hoi kwa bed presha juu na hana pesa kwa sasa.dad akasema hana ada ya ya chuo na hana means ya kupata ela,ndugu wanamuahd bt amna chochte akaomba nimsaidie,coz ni rafiki yangu nikamtumia kias flan alipe c mwajua inalipwa kwa installments. Sasa dada anasema amegundua nna upendo sn na anaomba tuwe wapenzi. Cjajua nifanye nn waungwana naombeni ushauri!!

Hivi hii ndiyo lugha mnaongea vijana wa leo? Mimi nilidhani yote hayo ni kwenye sms kwa kukosa nafasi! Huko shule insha mlikuwa mkiandika vipi?

Amandla.....
 
aaaaaaaaaaaaaah yani kagundua una upendo baada ya kumsaidia hela?

dont fall to atrap
 
Back
Top Bottom