Juice za matunda, ice cream au chostick.Juice zaina gani?
Ice cream za aina gani ? Bandiko lako haliko sawa
Me nadhani zingatia tangazo hayo mambo ya tbc muachie polepole.Ili tangazo limekaa kama taarifa za TBC
Kwenye vitu vya msingi jitahidi kutoa taarifa iliyokamilika upunguze maswali edit vizur bandiko lako mkuuJuice za matunda, ice cream au chostick.
Zile za kijiti
Aaah aah we njoo tupige kazi, njaa zipo tuWelcome to the industry, kipindi cha mvua tulale njaa wengi.
Nipigie basi tuyajenge,Mimi nimeajiriwa sehemu nina uzoefu kama utaweza kupanda dau la hapa nichomoe.
hahaaa akili zako unazijua mwenyeweWelcome to the industry, kipindi cha mvua tulale njaa wengi.
Nimemtahadharisha tajiri yangu, maana kipo hiko nikulala tu ndani nimekumbatiana na mtoto yaani full kisirani kusonya hii mvua si inyeshe mbeya huko wanakolima mpunga.hahaaa akili zako unazijua mwenyewe
Hahahaaaa afu wewe!!Welcome to the industry, kipindi cha mvua tulale njaa wengi.
wewe utakuwa rafiki yangu, naomba tuwasiliane pm kama hutojaliHahahaaaa afu wewe!!
Umenikumbusha last year naanza biz nilianza jan, nikawa naingiza faida mpaka 50,000 kwa siku.
Weeee mvua ilivoanza mwezi wa tatu...sikuamini Kweli hii biashara nzuri ila ya msimu.
wewe utakuwa rafiki yangu, naomba tuwasiliane pm kama hutojali
Poa dear karibu pmwewe utakuwa rafiki yangu, naomba tuwasiliane pm kama hutojali
Umefunga Pm, njoo kwanguPoa dear karibu pm
Oh najaaaUmefunga Pm, njoo kwangu