Mdada au mmama wa kuchat naye.

Mdada au mmama wa kuchat naye.

Mitaani mademu,wajane,wake za watu,walioochika,Single mother wamejaa ukitaka unabadilisha kila saa wewe unakuja kuangaika na picture za Jf kweli zinakutosha ndug?

Wengi humu ni wanaume,Wazee vikongwe na wamama waliosoma wakakosa bahati ya kuolewa na wachaache ni wake za watu. Sema majina na picture ni za wanawake wa mitandao kama Instargram na sehemu zingine ambapo wanabandika picture.

Usiwe mjinga piga mastori mengine humu ila hiyo yako Potezea kama Dstv
 
  • Thanks
Reactions: lup
Kumbe we ni ka bonge
 
Back
Top Bottom