Mdada gani unaetamani awe wako?

Hee huwaga unaongea nao
kwani humu si unaweza ku-imagine sauti ya mtu! uandishi wako ndio muelekeo wa sauti yako!
emmyta na Valentina hawanaga porojo sana!
wanaongea kwa upole na maneno machache!
Dinazarde wewe mtata, mara una-act me; mara ke;
maneno mengi mno!
tunakuogopa maana usijeishia mikononi kwa Kigwa bure uitwe central!
 
Hahahaha mi sieleweki jinsia popote nipo ,,zamu ya majike dume yakifika tutaitwa central
 
Daaaaah kama yupo achangamkie fursa ila miss.chaga nduguye godoro.....ndotoni ananiijia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…