kwani humu si unaweza ku-imagine sauti ya mtu! uandishi wako ndio muelekeo wa sauti yako!Hee huwaga unaongea nao
emmyta na Valentina hawanaga porojo sana!
wanaongea kwa upole na maneno machache!
Dinazarde wewe mtata, mara una-act me; mara ke;
maneno mengi mno!
tunakuogopa maana usijeishia mikononi kwa Kigwa bure uitwe central!