Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Eti wanaume wenzangu ni mrembo gani humu jf unatamani sana awe wako wa milele?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa wangu YEEAHP.! ila hapo na Milele ni NOPE...tumekutana kimjini mjini tuachane kimjini mjiniEti wanaume wenzangu ni mrembo gani humu jf unatamani sana awe wako wa milele?
Mjinga wewe umesema😀😀😀😀Humu ndani.tutakuja tongoza wanawake wenye umri wa mama zetu.mapenz ya humu hata siyataki.
Njoo mdogo wanguMiss Chaga ni kweli?
watu mnavutika na avatarEti wanaume wenzangu ni mrembo gani humu jf unatamani sana awe wako wa milele?
Basi karibu kaka aisee utakuwa na hela tuMimi ni mkalamba cyo dogo miss Chaga.
Angalizo!!!!!!!!Eti wanaume wenzangu ni mrembo gani humu jf unatamani sana awe wako wa milele?