Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Eti wanaume wenzangu ni mrembo gani humu jf unatamani sana awe wako wa milele?
We ni mwanaume?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti wanaume wenzangu ni mrembo gani humu jf unatamani sana awe wako wa milele?
Jamani miss chagga nampendaga mno, huyu mwanamke ipo Siku nitakula mzigo kiulaiiiiiiiiini.Eti wanaume wenzangu ni mrembo gani humu jf unatamani sana awe wako wa milele?
Huyu demu mbona yupo bomba Sana, hebu nitoe namba zake bana.Wanatamani mrembo kama huyuView attachment 466714
Huyu demu mbona yupo bomba Sana, hebu nitoe namba zake bana.
Eti wanaume wenzangu ni mrembo gani humu jf unatamani sana awe wako wa milele?
THANK U TOO , KWA HIYO UNANIPENDA PIA?ahahah thank u sir!!! km hujasema ntajuaje?