mdada kanasa kwa jambazi.......

mdada kanasa kwa jambazi.......

duh,yaani unaona kabisa hapa kuna moto lakini wapi!!kazi kwel kwel
 
Huyo dada namshauri aachane na huyo jambazi but kwa kutumia akili coz huyo mtu anaweza mdhuru km akiondoka kwa kutumia sababu ya ujambazi,pili kuhusu sijui shepu na umri mbona sio sababu ya msingi na mtu kuogopa mpaka ajisalimishe kwa jambazi?
Mbona hao wenye hayo mashepu wako kibao mtaani na hawajaolewa?
Mbona mabinti kibao wanaolewa na umri ukiwa umeenda sana tu!
Namshauri wala hayo yasimwogopeshe,atoke kwa jambazi mungu atampa wa kufanana naye!
sjui ntaanzaje kumweleza haya maneno unayoniambia
 
huyu dada bila shaka nako katakuwa kajambazi wakija wageni kila wakati ana wasiwasi.
 
Dah,life is so hard.But mm naamini kutoka kimaisha sio lazima uwe jambazi,kwa ushauri wangu ningependa amshauri atafute kazi nyingine,akifa hilo duka litapatikana?
 
Back
Top Bottom