Babu DC sijui kwanini namuamini Eiyer, acheni nimiamini akinitenda si nitakuja mtanicouncil!
Halafu si huwa mnatushauri tuwaamini wapenzi wetu without reservation, sasa nikiwa na reservation maisha nitauafurahiaje?
Pamoja na hayo, nakubaliana nawe kuhusu kujisifia, nimefanya hivyo kwa Kongosho tu maana ameninyanyasa sana huko nilipokuwa nashare naye!
LOL
Hapa hakuna cha kubaniwa wala nini...dume limeamua kukengeuka tu...hata lingepewa 4 times a day bado lingeenda huko kwenye maji taka!
Babu DC!!
Smile usiseme hivyo haya ni maisha but as for me bwana akifika mahali he wants to marry aoe ila asilete nyumbani kwangu akapange nae huko aniache na wanagu tule bata. Ukimwendekeza utakufa uiwa mtoto bure. so far kwenye life mwanaume akisha kuchoka huna ins but dont ever quit wewe aondoke yeye aliyechoka. akuache wewe na wanao muendeleze maisha.wanaume kitu gani bwana...upuuuzi mtupu..
Hapa hakuna cha kubaniwa wala nini...dume limeamua kukengeuka tu...hata lingepewa 4 times a day bado lingeenda huko kwenye maji taka!
Babu DC!!
Ni sawa Kaunga ila mpaka muwatangazie majirani au kutoa press release/press advert eti mnawaamini waume zenu?
Hilo ndilo linalonikera mie,
Babu DC!!
Wamekufanya nini..........sitaki... mashetani wakubwa
kina mama hamna issue zingine za kudiscuss ni mume wangu mume wangu...mbona wao hawana time na nyie? ndo kama ivo wapo buusy kutafuta k mpya...mnaniboa...wanaume wenyewe hata akilini mwao hampo.... craaaap...jifunzeni hata jinsi ya kutengeneza shampoo za parachichi tuache kuagiza nje uchumi upande....Smile usiseme hivyo haya ni maisha but as for me bwana akifika mahali he wants to marry aoe ila asilete nyumbani kwangu akapange nae huko aniache na wanagu tule bata. Ukimwendekeza utakufa uiwa mtoto bure. so far kwenye life mwanaume akisha kuchoka huna ins but dont ever quit wewe aondoke yeye aliyechoka. akuache wewe na wanao muendeleze maisha.
wazushi ,tuu mume mume mume????? mume bongo????????Wamekufanya nini..........
😛opcorn::coffee:
He he he he, kumbe unataka 'baby come back'?
Yuko bize na Bi. Chau, hakuna cha Omotola wala Genevieve
Mtaa wa sita mtanikoma, exclisively hili jigambo kwa Kaunga tu
wanaume kitu gani bwana...upuuuzi mtupu..
sitaki... mashetani wakubwa
kina mama hamna issue zingine za kudiscuss ni mume wangu mume wangu...mbona wao hawana time na nyie? ndo kama ivo wapo buusy kutafuta k mpya...mnaniboa...wanaume wenyewe hata akilini mwao hampo.... craaaap...jifunzeni hata jinsi ya kutengeneza shampoo za parachichi tuache kuagiza nje uchumi upande....
Mbona sisi hatuwatendi namna hii Dark City kila kukicha matukio kama haya kwa wanaume yanazidi whyyyyyyyyyyyyyyyyyyy kwa nini?
Smile usiseme hivyo haya ni maisha but as for me bwana akifika mahali he wants to marry aoe ila asilete nyumbani kwangu akapange nae huko aniache na wanagu tule bata. Ukimwendekeza utakufa uiwa mtoto bure. so far kwenye life mwanaume akisha kuchoka huna ins but dont ever quit wewe aondoke yeye aliyechoka. akuache wewe na wanao muendeleze maisha.
Copy that DC
But l can tangaza kuwa l am in love with Eiyer si ndio? Nausemea moyo wangu hapa. Na yeye akiusemea wa kwake si Okay???
Only if you have the power to evict him....Most of men never think that they can, one day see the exit door way!
May be ndo mambo ya dotcom!!
babu DC!!
YAANI WAwamama mpo busy na hao wanaume wenu kwa waganga nyie .kila kitu hivi ulishawai kuona mwanaume anamtafutie mke wake libwata? si mtulie jamani acheni mapenzi ya kweli na busara ziongoze ndoa zenu....kuna wamama huwa wanakuja saluni kwa shost wangu kuangalia muvie za x eti wanatafuta style za wiki za kuwapagawisha waume zao..mmoja anadai kuna style hazipendi but inabidi tu avumilie eti mtafake hadi lini?siyo kwamba hatuna kazi za kufanya thats big no na yawezekana tuko bize sana kuliko ako na pia juu kiuchumi kuliko wao ishu ni kwamba sisi ndio waumbaji katika familia, na pia huwa hatupend kitu ulichokiumba for years kipotee tu kirahisi. Ni ngumu mdogo wangu na hata utakapokuwa na mji wako utajua ninachokisema.
siku hizi ndo tunavyosema akichoka aondioke yeye. Mwanamke akishaingia ndani hta kwa winch hatoki. thats our motto. tumechoka kunyanyasika. mbona wengi tu wanaondoka?
Nilishawahi kusema hapa wakati fulani kwamba wanawake wengi wanaumia kwenye ndoa kwa sababu ya kuwasifu waume zao kwa mashoga kupita kiasi, si vibaya kumsifia mumeo kwa mashoga lakini pale yanapotokea mabadiliko kama haya usione aibu kusema umeshindwa na kuangalia mustakabali wako upya, kila mtu ameoa au kuolewa kwa utashi wake na hamna sababu ya mahusiano yenu au ndoa yenu kushikiliwa na majirani, marafiki au ndugu, kama yamekushinda bwaga manyanga anza maisha mapya, mambo ya kuanza kuwaza eti,...... "hivi majirani, ndugu au marafiki watanionaje?" yamepitwa na wakati, ndoa ni yako na sio ya kwao, anayeumia ni wewe na wala sio wao, na kama wakikuzodoa kwa kukusimanga wakikwambia ........ "kiko wapi ulichokuwa ukiringia...." Wao haiwahusu kwani wao wana maisha yao na wewe una maisha yako, kama alikuwa na tabia nzuri ni wakati ule,.......... Sasa kama amebadilika na kuwa na tabia za kiasherati wewe ufanye nini.......? Mtu hukuzaliwa naye tumbo moja, amelelewa kwao na wewe umelelewa kwenu, mmekutana ukubwani, kisa cha kutoana roho kwa sononi na msongo wa mawazo ni nini....!?
Kila mtu anaweza kuchukua ustaarabu wake kwani huo sio mwisho wa maisha.... na maisha ni popote, hata kama ukisemwa au kusengenywa na mashoga thamani yako iko pale pale wala haiondoki, ni wewe tu unayeweza kuiondoa kwa kujishusha na kujiona dhalili mbele ya binadamu wenzio..............
YAANI WAwamama mpo busy na hao wanaume wenu kwa waganga nyie .kila kitu hivi ulishawai kuona mwanaume anamtafutie mke wake libwata? si mtulie jamani acheni mapenzi ya kweli na busara ziongoze ndoa zenu....kuna wamama huwa wanakuja saluni kwa shost wangu kuangalia muvie za x eti wanatafuta style za wiki za kuwapagawisha waume zao..mmoja anadai kuna style hazipendi but inabidi tu avumilie eti mtafake hadi lini?