inaitwa wallet, imejazwa karatasi nyekunduYAANI WAwamama mpo busy na hao wanaume wenu kwa waganga nyie .kila kitu hivi ulishawai kuona mwanaume anamtafutie mke wake libwata?
abiria chunga mzigo wako,si mtulie jamani acheni mapenzi ya kweli na busara ziongoze ndoa zenu....kuna wamama huwa wanakuja saluni kwa shost wangu kuangalia muvie za x eti wanatafuta style za wiki za kuwapagawisha waume zao..
ni bora amwambie tuu kama kuna style hapendi, what's the point of love making if it's not enjoyable for bothmmoja anadai kuna style hazipendi but inabidi tu avumilie eti mtafake hadi lini?
eti wanalinda baba asiondoke ....while wao wakimpa vya mashariki wenzao walishamaliza magharibi wapo kusini siku miiingi...upuuuzi mtupuinaitwa wallet, imejazwa karatasi nyekundu
abiria chunga mzigo wako,
ni bora amwambie tuu kama kuna style hapendi, what's the point of love making if it's not enjoyable for both
lol. true, mapenzi hayalazimishwi na kama kunako 6x6 ndio njia pekee unayotumia kumhifadhi mumeo then hiyo ndoa inahitaji msaadaeti wanalinda baba asiondoke ....while wao wakimpa vya mashariki wenzao walishamaliza magharibi wapo kusini siku miiingi...upuuuzi mtupu
lol. true, mapenzi hayalazimishwi na kama kunako 6x6 ndio njia pekee unayotumia kumhifadhi mumeo then hiyo ndoa inahitaji msaada
Nilishawahi kusema hapa wakati fulani kwamba wanawake wengi wanaumia kwenye ndoa kwa sababu ya kuwasifu waume zao kwa mashoga kupita kiasi, si vibaya kumsifia mumeo kwa mashog.....
naleta ombi maalum kwako...
Kama hutojali Tafadhali badilisha rangi unayotumia , inaumiza macho.....
wewe huwapendi wanaume au hupendi MUME!wazushi ,tuu mume mume mume????? mume bongo????????
wanaume kitu gani bwana...upuuuzi mtupu..
I wish wajukuu zangu wote wangekuwa na mtazamo kama wako...Ila kwa bahati wengi wanarudi hapa kwa babu kila siku wamechanganyikia na hawajui la kufanya!!
Nadhani kama mmefika hapo basi mambo ya nchi za Scandinavia hayako mbali...Hao vidume wanaojifanya wajanja wakae mkao wakutupiwa viroba vyao kwenye mifuko ya rambo!!
Babu DC!!
tena ukae mbali na mimi kabisasmile nakupenda sana tatizo uliyempa moyo for the 1st tym alikujeruhi,katuharibia wengine tunakukosa mtoto mzuri mchana kweupe
how about this?
edit: ninjaed
inahusikaje?wewe huwapendi wanaume au hupendi MUME!
Kama unawapenda WANAUME gonga LIKE.
Hii haina maana bila Wanaume..!!!:coffee:
tena ukae mbali na mimi kabisa
asante kwa ushauri. sikudhani kama rangi ya mwanzoni ilikuwa inasumbua kusomahii iposafi, raha hadi kusoma koment
Sikonge yaani huu wimbo kama taarabu kabisa sema uko kwa lugha ya KingerezaMtambuzi,
Haya ni ya kweli kabisa. Na hata hao hao mashoga wanaweza kukugeuka 🙁
Because she talk talk talk, Now her man is lying in my bed.
If she didn't talk talk talk, He would be there with her instead.
But she talk talk talk, Now her man is lying in my bed.
She shouldn't talk talk talk,Ladies be careful what you tell your friends.
She said he was big, he was big, he was big
I got tired of her tellin me all of his biz
But brag, she would boast bout the way that he digs
Don't blame me, its your fault, I took a spin off his gig.
You told me it was heavy. Discribe even the height
And how him wok yuh #$%$#. Non stop all through the night
So I called him on his celly. Me neva think twice
You got me thinkin bout it. And now yuh wa'an fight??
You told me he was the best you've eva had
The picture that you painted, Made me want it so bad.
See girlfriend I've been lookin for a man like that. You shoulda know betta
You shoulda told me he was whack. Shoulda told me he was a mini mini me
Now you're cryin silly silly me
Too bad girl, I'm in your world,
Now you're all messed up
Cuz your man's with me......
Dreamliner dah haya!Mimi mbona nimeshampenda siku nyingi??