Mdada katendwa kabakia haamini kama ni yeye ...

Kuna jamaa yangu alienda JAMAICA na akashangaa kuwa wale jamaa ni Waswahili haswa. Akakuta kuna wengine hadi wanamfahamu Marehemu Kanumba na wapenzi sana wa film na miziki ya Kiafrica (Film Za Nigeria).

Kwa maana hiyo, kama Taarabu na wao wanalijua haswa na kila aina ya upuuzi tunaofanya.

Ndiyo maana unaona hata wimbo wa Taarabu ila kwa Kiingereza. Ila wanayosema ni kweli kabisa.
Sikonge yaani huu wimbo kama taarabu kabisa sema uko kwa lugha ya Kingereza
Unamfaa sana Isha Mashauzi
 
usiombee mambo haya!wewe unaweza kushtuka kuwa ana fanya hivyo na UKIMWI umeshapata.
 
eti wanalinda baba asiondoke ....while wao wakimpa vya mashariki wenzao walishamaliza magharibi wapo kusini siku miiingi...upuuuzi mtupu

Smile my dear.... nimependa sana michango yako humu, you are one of a kind!!!
 
Huyu mdada ni jirani yangu..

Alikuwa na ka mtindo fulani kila siku anamsifia husband wake ooh ndoa yangu ni imara na ni kama paradise ndogo
Mme wangu hawezi kurudi saa mbili usiku kama waume zenu wanavyofanya nashangaa mie.!

Haya mengine nayaacha. Kama kuna mwanamke hapa anayependa mumewe arudi hom saa kumi na moja kila siku, anyoshe mkono...
 

FirstLady1 hapo kwenye nyekundu nifungue macho umeniacha kwenye stima.........lol
 
Last edited by a moderator:
tutawatupia viroba vyao na ukiangalia hakuna zoba tena loloest wameishiwa hawana mashiko tena.
There are some people that don't deserve your love, they don't deserve your affection, they don't deserve your time, they don't respect you, they're not loyal to you, they don't have your best interest at heart. Stop giving them what they w...ant, stop allowing yourself to be a doormat. You're the only one making love, he is just taking. Stop deceiving yourself, this does not get better. When a man loses respect for you, it's over...
 
This is sad... Ila nasikitika zaidi, yani kama vile FL1 kashangilia
Janjaweed jamani mie nitashangiliaje matatizo ya mwanamke mwenzangu??
hapana kabisa ndo maana mwisho wa mada nimesema tumuombe mungu atusaidie ..
 
Last edited by a moderator:
Janjaweed jamani mie nitashangiliaje matatizo ya mwanamke mwenzangu??
hapana kabisa ndo maana mwisho wa mada nimesema tumuombe mungu atusaidie ..
Mama mwenye nyumba

ulivyoiweka mnhhh

imenikumbusha ile ya hehehee, alidhani yuko juu sio, wacha tumuombee', halooooooooooooo....
 
he ilo nalo neno ,yaan unajipakazia kwa mashosti kuwa una bwana mtiifu kumbe ana washa moto wa kifuu ata ukiuona moto kimesha maliza ,balaa duniani ,
 
Mama mwenye nyumba

ulivyoiweka mnhhh

imenikumbusha ile ya hehehee, alidhani yuko juu sio, wacha tumuombee', halooooooooooooo....


Haha nisamehe bwana next time nitatafuta namna nzuri yaku present issue kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…