Mdada miaka 28, natafuta kazi nipo Morogoro

AmazingHope

New Member
Joined
Dec 17, 2021
Posts
1
Reaction score
12
Habari,

Elimu yangu ni Degree natafuta kazi yoyote halali. (Kama kusimamia biashara/ofisi, duka, supermarket etc)kwa mkoa wa Morogoro au sehemu nyingine.Yeyote mwenye connection ya kazi naomba anisaidie hata kama kutakuwa na malipo ya pesa.

Asanteni
 
Unga degree unatafuta kuajiliwa pole .wenye degree ni wengi jiajili mpendwa
Haya mambo ya kukatishana tamaa sisi kama watanzania tuachane nayo, mpaka mtu anafikia hatua ya kuanzisha uzi inawezekana ameshindwa kujiajir kwasababu mbalimbali. Jambo la msingi ni kumsaidia kama una weza huwezi mpe ushauri positive na si kumdhihaki.
 
Well said👏👏
 
Habari,

Elimu yangu ni Degree natafuta kazi yoyote halali. (Kama kusimamia biashara/ofisi, duka, supermarket etc)kwa mkoa wa Morogoro au sehemu nyingine.Yeyote mwenye connection ya kazi naomba anisaidie hata kama kutakuwa na malipo ya pesa.

Asanteni
Sasa kama una pesa za kulipa mtu,kwa nini usijiaiiri tu mkuu?
 
Habari,

Elimu yangu ni Degree natafuta kazi yoyote halali. (Kama kusimamia biashara/ofisi, duka, supermarket etc)kwa mkoa wa Morogoro au sehemu nyingine.Yeyote mwenye connection ya kazi naomba anisaidie hata kama kutakuwa na malipo ya pesa.

Asanteni
Unayo kadi ya CCM?
 
Degree ya kitu gani?
Natafuta Project Manager kwa mradi wangu wa ufugaji nguruwe.
 
Habari,

Elimu yangu ni Degree natafuta kazi yoyote halali. (Kama kusimamia biashara/ofisi, duka, supermarket etc)kwa mkoa wa Morogoro au sehemu nyingine.Yeyote mwenye connection ya kazi naomba anisaidie hata kama kutakuwa na malipo ya pesa.

Asanteni
Weka na picha
 
Kada gani
 
Back
Top Bottom