Mdada niliyewahi mkimbia lodge ndiye Hakimu kwenye kesi yangu leo

Umetumia vigezo gani ku calculate hata ukahitimisha hili..??
Ni traffic case....hiyo....
umerudishwa nje kwenye bench la polisi unasubiri usomewe mashtaka yako.....
ambayo kimsingi utakiri na kulipa fine...
ambayo tayari umenegotiate na muendesha mashtaka na hakimu.....
na simu yako wamekurudishia
 
Kitakachohalalisha kuhukumiwa kwako ni sheria na ushahidi tu. Kukimbiana au kua na ugomvi havina nafasi.

Mfano: umeiba, kisheria kuiba ni kosa. Ushahidi ukiwepo kama umeiba basi kinachofuata ni hukumu. Kama hakuna ushahidi ingawa kuiba ni kosa kisheria utaachiwa huru.

Mfano: Umelala. Kisheria kulala siyo kosa. Hata kama ushahidi upo na sheria haijatamka kama hilo ni kosa utaachiwa huru.

Wewe ndiye unajua kama unastahili adhabu kwa ulichofanya ama la.
 
Sema kimeumanaa
 
Asante kwa ushauri mkuu, ingawa kiukweli kosa nimelitenda.
Ila kinacho nipa mawazo ni jinsi yule mh navyo niangalia, sasa naogopa nisije nikahukumiwa na yale majini....πŸ˜‡πŸ˜‡
 
Hawez kukulaumu kumkimbia sababu uliogopa, ila leo omba no kabisa uanze mashambulizi upya ukanyooshe goti, alishapona maruhani mkuu
Huu ushauri ngoja niufanyie kazi kimya kimya, maana ikitokea waifu amepita hapa kwakweli ndani patageuka bagdad..πŸ€“
 
Asante kwa ushauri mkuu, ingawa kiukweli kosa nimelitenda.
Ila kinacho nipa mawazo ni jinsi yule mh navyo niangalia, sasa naogopa nisije nikahukumiwa na yale majini....πŸ˜‡πŸ˜‡
Halafu mahakamani hakuna sehemu ya kujifanya umepageukia ili uwe bize na upande huo.

Anyway, ningekua wewe ningemuangalia pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…