Worry not Kamanda, probably anataka kukusaidia.Kesi imeahirishwa hadi tarehe 3 mwezi huu, ila naona mh kaniambia nimtafute.
Sasa hapa nawaza upya mkuu, isije ikawa yale majini yake ndio yananitafuta...π
π€£ π€£ π€£Last week nilipata issue fulani na imefikia hatua ya kupelekwa mahakamani na nikatakiwa kuhudhuria leo kwa pilato. Wakati naingia, ghafla nikajikuta nimekaa mbele ya mwali niliemkimbia lodge (kwasababu alipandisha maruhani), na yeye ndie mtoa maamuzi kwenye kesi yangu
Hapa kwenye huu uzu!Kamba imekusokota wapi mkuu..[emoji848][emoji848]
Mkuu unataka kuyadanagnya maruhani???π€£π€£π€£π€£π€£Ni miaka 12 sasa,
Sasa wakuu naombeni ushauri, nimkaushie ama nijifanye namfananisha ama nimdanganye kwamba tupo mapacha ama nimkumbushe tulipo wahi kuonana?
Maana wakati anasikiliza kesi yetu, alikuwa ananiangalia sana.βΉοΈ
Yaani hii tumpatie yule jamaa wa "Irudiweeee, Irudiweee" ili upate nafasi ya kurekebisha makosa π€£Mkuu, usimuombee adui yako mabaya...πͺ
Inawezekana pia kachapa mtu makonde kitaaUtakuwa na traffic case ww