cross road
Member
- Mar 22, 2013
- 31
- 2
habari wana jf,me ni kijana wa kiume 24yrs,siku zote nilikuwa nikiingia jf as guest na nimejisajiri kwa rengo moja 2,kumpata mwenz wa maisha,nina elimu ya chuo na ni mwajiliwa,nilikuwa na galfriend mwanzo lakn uhusiano uliisha baada ya yeye kwenda kusoma kenya na huu ni mwez wa 4 nikiwa alone..cfa zngu cyo mlefu sana ,msafi na nina mapenz ya kweli,nikpenda napenda kwel so kama wajua utanicheat ni bora usijsumbue..nahtaj mdada ntakayempenda kwa dhat kabisa awe anayeish Dar es salam,umri 18-26 rang yoyote,asiwe mnene sana or mwembamba,awe na kaz or elim kidato cha nne na kuendlea.
Ikiwa ni wewe ni PM
Ikiwa ni wewe ni PM