Mdada, ukiachwa achika!!

Mdada, ukiachwa achika!!

ntuchake

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
408
Reaction score
1,549
Wadada wengine aibu hawana. Umemuacha mwanaume wakati amepoteza kipato na haitoshi ukamsaliti tena wazi wazi kila mtu anaona!

Kaka wa watu amejipiga ameinuka tena, unarudi na blah blah eti nakupenda sijawahi kukutana na mtu mwenye mapenzi ya kweli mvumilivu mpole kama wewe. Wakati unamsaliti unamuacha ulikua huyajui hayo?!!

Mwanaume amekublock sehem zote bado unatumia rafiki zake wakuombee msamaha! Kuna wanawake hawana aibu!!

Unaambiwa mwenzako anaoa mwezi wa nne na tarehe ya harusi umeambiwa lakini bado huchoki kutuma watu wakuombee msamaha!! Mbaya zaidi meseji unazotuma zinamfikia mke wake mtarajiwa!! Kwani wanaume wameisha mpaka uwe king'ang'anizi namna hii?

Ulisema wa nini wezako wamemchukua, wahuni wamekuchezea wamekuacha solemba unarudi na gia ya kulia lia eti haikua akili yako ulilogwa 🤣🤣 muwe na aibu ukiachwa achika maisha yaendelee mbona wanaume wapo wengi tu!!
 
Wadada wengine aibu hawana. Umemuacha mwanaume wakati amepoteza kipato na haitoshi ukamsaliti tena wazi wazi kila mtu anaona!

Kaka wa watu amejipiga ameinuka tena, unarudi na blah blah eti nakupenda sijawahi kukutana na mtu mwenye mapenzi ya kweli mvumilivu mpole kama wewe nyoko nyoko nyoko!! Wakati unamsaliti unamuacha ulikua huyajui hayo?!!

Mwanaume amekublock sehem zote bado unatumia rafiki zake wakuombee msamaha! Kuna wanawake hawana aibu!!

Unaambiwa mwenzako anaoa mwezi wa nne na tarehe ya harusi umeambiwa lakini bado huchoki kutuma watu wakuombee msamaha!! Mbaya zaidi meseji unazotuma zinamfikia mke wake mtarajiwa!! Kwani wanaume wameisha mpaka uwe king'ang'anizi namna hii?

Ulisema wa nini wezako wamemchukua, wahuni wamekuchezea wamekuacha solemba unarudi na gia ya kulia lia eti haikua akili yako ulilogwa 🤣🤣 muwe na aibu ukiachwa achika maisha yaendelee mbona wanaume wapo wengi tu!!
Wanazingua sana Hawa mkuu,yalinikuta Mimi baada ya kazi kukoma visa vikaanza hadi mahakamani!Nilimwambia kauli Moja,utakuja kunitafuta hutoniona na si lazima niwe mfanyakazi! Kweli anahaha,Sina Cha hiyo huruma.
 
Mke tarajiwa,easy..easy..easy
Ndoa si tiketi ya truelove...trust me
Yaan easy...

Nae huyo,Nini kung'ang'ana? Au anadhani pesa ya mwanaume tajiri itageuka kuwa yake? Yaan kumpendea mwanaume gari haimaanishi ndiyo itakuwa yako...utashenyentwa na gari itaendelea kuvuta wengine.....
 
Kujipa vidonda vya tumbo na presha tu kung'ang'ania sehem ambayo hutakiwi!!
 
Wanazingua sana Hawa mkuu,yalinikuta Mimi baada ya kazi kukoma visa vikaanza hadi mahakamani!Nilimwambia kauli Moja,utakuja kunitafuta hutoniona na si lazima niwe mfanyakazi! Kweli anahaha,Sina Cha hiyo huruma.
Sijui huwa wanajionaje! Wanahisi wakimuacha mtu hawezi kupenda au kupendwa tena! Wanakera sana
 
Back
Top Bottom