Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Mdada umekuwa na rangi tatu😀, macho brown yameungua kream, una mabaka ya kream mpaka unamfanya mwanaume ahisi afya yako si salama. Mishipa ya damu inaonekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nimepishana na huyo mkuu, jua lilimpiga hadi akawa anatoa harufu ya kutu....😜Mdada umekuwa na rangi tatu😀, macho brown yameungua kream, una mabaka ya kream mpaka unamfanya mwanaume ahisi afya yako si salama. Mishipa ya damu inaonekana
Acha basi 😂😂😂Leo nimepishana na huyo mkuu, jua lilimpiga hadi akawa anatoa harufu ya kutu....😜
Hamna bhana,inakuwaga harufu kama nyama chomaLeo nimepishana na huyo mkuu, jua lilimpiga hadi akawa anatoa harufu ya kutu....😜
Nawashangaa sana wanaume wanao date wanawake wanaojichubua, unakuta mwanamke ana mabaka ya kutisha na ndevu kama Osama eti anafanya yote haya ili apate mwanamme wa kumuoa ili aondokane na umasikini. Kwa kweli wanachekesha!Mdada umekuwa na rangi tatu😀, macho brown yameungua kream, una mabaka ya kream mpaka unamfanya mwanaume ahisi afya yako si salama. Mishipa ya damu inaonekana
Sijui nani kawadanganya na mikorogo!Leo nimepishana na huyo mkuu, jua lilimpiga hadi akawa anatoa harufu ya kutu....😜