Mdada umekuwa na rangi tatu

Mdada umekuwa na rangi tatu

Mdada umekuwa na rangi tatu😀, macho brown yameungua kream, una mabaka ya kream mpaka unamfanya mwanaume ahisi afya yako si salama. Mishipa ya damu inaonekana
Nawashangaa sana wanaume wanao date wanawake wanaojichubua, unakuta mwanamke ana mabaka ya kutisha na ndevu kama Osama eti anafanya yote haya ili apate mwanamme wa kumuoa ili aondokane na umasikini. Kwa kweli wanachekesha!
 
Wanawake wanaojichubua huwa wanatia kinyaa
 
Back
Top Bottom