Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Leo nimepishana na huyo mkuu, jua lilimpiga hadi akawa anatoa harufu ya kutu....๐Mdada umekuwa na rangi tatu๐, macho brown yameungua kream, una mabaka ya kream mpaka unamfanya mwanaume ahisi afya yako si salama. Mishipa ya damu inaonekana
Acha basi ๐๐๐Leo nimepishana na huyo mkuu, jua lilimpiga hadi akawa anatoa harufu ya kutu....๐
Hamna bhana,inakuwaga harufu kama nyama chomaLeo nimepishana na huyo mkuu, jua lilimpiga hadi akawa anatoa harufu ya kutu....๐
Nawashangaa sana wanaume wanao date wanawake wanaojichubua, unakuta mwanamke ana mabaka ya kutisha na ndevu kama Osama eti anafanya yote haya ili apate mwanamme wa kumuoa ili aondokane na umasikini. Kwa kweli wanachekesha!Mdada umekuwa na rangi tatu๐, macho brown yameungua kream, una mabaka ya kream mpaka unamfanya mwanaume ahisi afya yako si salama. Mishipa ya damu inaonekana
Sijui nani kawadanganya na mikorogo!Leo nimepishana na huyo mkuu, jua lilimpiga hadi akawa anatoa harufu ya kutu....๐