Mdada unakwenda club huna pesa ya drink ?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Jana tulikwenda kukumbuka enzi Mimi na babu yenu, yes wanapiga zilipendwa pia.

Wadada wazuri wamefika club wanaomba kabisa wanaume wawanunuliwe drink

Kama huna hela hivi kutoka ni lazima? Hiyo hela ya usafiri na kiingilio si ingenunua chakula ule nyumbani?
 
Sky Eclat fanya proof read kabla hujapost bandiko lako kuna siku utatuma matusi humu. Hahahaha nawaza kwa sauti.
 
Tumewazoesha wenyewe hiyo tabia, na tunaendelea ku-entertain hiyo tabia mpaka kiama kitakapofika..
 
Hapo ndio ninapowashangaa wadada hivi unatokaje huna hela na walivyoulamba sasa
Ni aibu kwakweli, jitahidini kuwapa mafunzo wenzenu hao wanawaaibisha taasisi ya akina mama looooooh!
 
Nimeona hii kitu Mara nyingi Sana, wadada wa hivyo wapo Sana kwenye night club za bure ama za kuingia na kinywaji
Kuingia ataomba watu nje, ndani nako atacheza mziki mpk atapewa bia kuondoka kwenyewe ataondoka kumekucha ili akapande daladala[emoji23][emoji23][emoji23]
Mweh kama Cna hela naangaliaga movie tu
Tena wacha nikazifuate mapemaaaa kabla cjashawishika kutoka
 
Tabia mbovu.
Binti kaulamba vizuuri halafu unaomba bia?

Kwa nini usinywe mbege ukalala
 
Siku babu akitoka mwenyewe anachagua tu no stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…