Mdada unakwenda club huna pesa ya drink ?

Mdada unakwenda club huna pesa ya drink ?

kuna eneo nimetoka muda si mrefu...
kuna midada ina mibodi ya hatari,wanawawafuata ME walio peke yao au hata walio na wapenzi wao ambao wanawaona hawana uzuri kuwazidi!
 
Tutakosana sana wewe Sky Eclat, ungejua tunavofaidi sisi wanachama wa [HASHTAG]#TeamMafisi[/HASHTAG]. Hungeendelea kuwahamasisha hawa wanadada bana, Nairobee tunawaita 'chips fungaa'. Kila mtu ajishughulishe na maisha yake!!!🙂
 
Back
Top Bottom