Mdada unakwenda club huna pesa ya drink ?

Mdada unakwenda club huna pesa ya drink ?

Haha, huu utaratibu mbona wa kawaida saana ukienda club zetu shurti ukikaa kwa kampani au kucheza na mdada lazima umnunulie kinywaji.

Huu ni utaratibu unaofahamika kabisa.
 
Haha, huu utaratibu mbona wa kawaida saana ukienda club zetu shurti ukikaa kwa kampani au kucheza na mdada lazima umnunulie kinywaji.

Huu ni utaratibu unaofahamika kabisa.
Na unakubalika
 
Kwani kwenda out na kurudi kwa daladala kuna shida gani?
Tatizo Kukaa club mpk daladala zianze ruti kwa kukosa naul ya bodaboda Au tax
Mwisho wa cku na kibukta ulichovaa wapiga debe wakuvue,aibu nyingine hii

Raha ya kutoka pesa tu ,tena yako mwenyewe kula ,kunywa
Uwezavyo nakurud nyumbani urudi salama
 
Return ndo kuomba omba kwa watu huwajui. Si ukae ndani tu kwani lazima utoke ukawe matonya. Hapo unakuta wameenda kudanga
Wakifanya hivi usemavyo sehemu za starehe tutabaki wanaume watupu.
 
Wakitoka hapo, utasikia wanaponda...Wanaume suruali!!!
 
Hii ni style ya kudanga pia..wanadanga vinywaji na mwanaume waliozoea zipu waz wanajibebea mzigo for night stand!hii style inafanywa na wanachuo sana btw wakale wapi sasa?
 
Back
Top Bottom