Mdada unakwenda club huna pesa ya drink ?

Mdada unakwenda club huna pesa ya drink ?

Most huwa wapo kazini na hiyo gear ya kuomba wanunuliwe drink ni mtego wa kumnasa mwanaume...corrupting the mind na kutrigger hii kitu "yaani nimpe drink hivi hivi tu..no way, lazima nikamle". Win-win situation.
 
Au kiba100...!
Kuna mmoja aliomba au kuonyesha nia nimnunulie pombe. Nikamnunulia, akawa akiongea anachomeka maneno kadhaa ya Kiingereza nakuonyesha ni 'high class' huku akisema ameishi Nairobi. Maswali mawili matatu tayari ameloa...!!
 
Sky babu alijifanya haujui huu utaratibu wa kugawa bia kwa wachuchu? Ama kweli uzee ni umalkia.

Cc Asprin
 
Kuna mmoja aliomba au kuonyesha nia nimnunulie pombe. Nikamnunulia, akawa akiongea anachomeka maneno kadhaa ya Kiingereza nakuonyesha ni 'high class' huku akisema ameishi Nairobi. Maswali mawili matatu tayari ameloa...!!
green light sio usingejiongeza unahamwa na msonyooo kama honi ya treniii haha
 
green light sio usingejiongeza unahamwa na msonyooo kama honi ya treniii haha
Angehama wala nisingejali.
Nikiwa maeneo hayo sihitaji kuwinda, bora nibaki na Mwantumu wangu!

Inaonyesha huwa unawatungua...hahaaa
 
Bora umetusaidia kutusemea, tungesema sisi tungeonekana kama tunakimbia majukumu yetu[emoji41]
 
haha vibia bia huwa vinanitoka hivi havikwepeki otherwise uwe kauzu kweli kweli.
Kuna mmoja nilimnunulia halafu jamaa yake akatokea. Akajifanya hanijui..mkausho matata...!!!

Tukakutana tena wikend flani!! Akawa mpolee..potelea mbali
 
Back
Top Bottom