Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaaakuna eneo nimetoka muda si mrefu...
kuna midada ina mibodi ya hatari,wanawawafuata ME walio peke yao au hata walio na wapenzi wao ambao wanawaona hawana uzuri kuwazidi!
bi dada huwa anaandika haraka sana ndo mana huchapiaga mara kwa maraSky Eclat fanya proof read kabla hujapost bandiko lako kuna siku utatuma matusi humu. Hahahaha nawaza kwa sauti.