Billionaire wa Betting
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 1,086
- 2,179
Sem
Kwa huo ugonjwa nimekuelewa, huku Chugga upo sana hasa kwa hivi vitoto under 25 yaani ni shida broMajira ya jioni nimetulia kwenye liquor store ya mwanangu tunapata kinywaji mdogo mdogo
Katikati ya story za mtaa, ghafla akatokea binti mmoja mzuri sana mrefu, maji ya kunde na hapo nyuma kafungasha si mchezo, na huu ndo ugonjwa wako, taa nyekundu ikawaka
Yule binti alikuja kuomba chenchi ya 10,000/= jamaa akampatia, nikamtania
Mimi: jirani mbona siku hizi huonekani
Binti: akatabasamu nakujibu ww ndo huonekani jirani
Mimi: mambo yamekuwa mengi weka namba zako ili tusipotezane kiasi hichi
Bila hiyana mtt na tabasamu lake zuri akadondosha namba zake nikazi-save
Baada ya binti kuondoka mwanangu akacheka kinyama, akaniambia mzee ww ni balaa demu hata humjui umuchukua namba kirahisi hivo hivo, nikamwambia ndo kazi zetu hizi.
Kesho yake nikamcheki demu story nyingi sana, demu anapenda kuchat sana, yupo social sana ni demu ambae ukiwa nae huwezi kuwa bored mnyamwezi sana, siku hii sikugusia maswala ya mapenzi
Ukaribu ulizidi ndani ya siku 3 na mm nikawa nashauku sana ya kumla huyu demu maana anavutia sana, mapigo flani ya mbele ule weusi wa kimarekani na hilo tako hapo nyuma ndo nikapagawa kabisa
Weeked moja nikosafi mfukoni nikavuta waya mtt akapokea simu, nikamwambia leo tafuta sehemu nzuri tukapate burudani na vinywaji, akaniambia swala dogo kuna club nzuri ya kishua tutaenda utaenjoy
Mida ya jioni nakutana nae maeneo ya viwanja tukapiga pombe kali, mtt akawaka sana acha aanze kumwaga mauno, washikaji wametoa macho tu mate yanawatoka, alivutia sana kwa kile kinguo chepesi alichovaaa
Imefika mishale ya saa tisa usiku nikaona huu ndo muda sahihi wa kwenda kumwaga oil, kabla mtt pombe hazijakata kichwani akaanza kuleta vipingamizi, nikachukua usafiri mpaka lodge ya maeneo ya karibu hapo
Tumefika tukalipia chumba nikaiingia na mtt ndani huku akiyatingisha makalio yake kwa mbwembwe, mhudumu alikuwa wakiume akawa na yeye anashuhudia jinsi demu alivyokuwa anajiachia akiwa anatembea kuelekea room
Tupo room, demu akavua nguo zote akaelekea bafuni kuoga mm bado udenda unanitoka tu nikasema leo huyu mtt napiga mpaka asubuhi
Demu baada ya kutoka bafuni na mm nikaoga chap nikarudi ile tuanze kumlaki shetani, mara ghafla demu akaanza kuleta vipangamizi flani hivi, mara hatuwezi sex leo, bado sijakuamini, oh najihisi nimechoka ntakupa asubuhi, ikabidi nianze kubembeleza ili mtt anionee huruma maana nilimpania sana na yeye alijua hilo
Mtt akaanza kulegea mdogo mdogo ile nimepanda juu yake nianze kazi zangu, nilihisi harufu moja kali mno amabayo sikuweza kuvumilia, nikamuuliza hapo hapo una umwa? Akasema ww bado mdogo huwezi elewa, ikabidi niwe mpole kwa jibu hilo, maana demu ana 22, mm nimempita parefu sana kwa umri
Usingizi ulikata ikabidi nimsikilizie apitiwe na usingizi nikaaacha 10k pembeni yake incase asubuhi apate ela aya nauli nikasepa zangu, alikuja kunicheki kwa simu akasema aliambukizwa huo ugonjwa na msela wake ila mpaka leo hajapona na demu ni chombo
Ushauri tusiingiie kwa hawa watoto wa mjini kwa mawenge, maku zitatumaliza vijana