Mdada wa barbershop!

Sem
Kwa huo ugonjwa nimekuelewa, huku Chugga upo sana hasa kwa hivi vitoto under 25 yaani ni shida bro
 
Itakua Gonorrhoea/kisonono...hua zinatoa usaha mzito balaa...ukigusa tu,3days unamwaga uji.
Ni hatari man, kuna dogo hapa binamu yangu alifakamia kademu ka mtaani huko under 18, baada ya siku 3 tu ub*o ukaanza kumuuma na anatoa usaha nikamwambia aende akadungwe sindano bado mapema now kapona kabisa baada ya sindano 5 za kila siku.... Asaiv ananiambia bora apige puli tu kama ndo hivo amekula mara moja tu akatoka na Gono. Nmemwambia atafute demu anaejielewa aachane na malaya wa mtaani....
 
Changamoto ya Gonorrhoea kwa mwanamke inachukua muda mrefu kujulikana na hapo ndio usugu wa ugonjwa hutokea,kwa mwanaume inachukua 3-5days kujulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…