Mdada wa Gen Z akijiachia kwa mauno mbele ya Wanajeshi bila woga

Mdada wa Gen Z akijiachia kwa mauno mbele ya Wanajeshi bila woga

Hiyo ilikuwa fursa kwake kujitangaza na atakuwa kesha pata wenzake kama yeye.
 
Sema jeshi la Kenya halina noma za kiajabu kama la Tz. Hapo Tz angeshapewa bustani apalilie
 
Moja: In this day and age anything can be doctored..., and even if this is authentic unadhani ni wanajeshi gani wangefanya lolote wakati hapo wapo recorded ?

Anyway kwa ambao tulisoma shule kipindi fulani wanajeshi tulikuwa tunawaita wajomba, iwe kwenye train usafiri wanatetea sana madogo (on their side)
 
Back
Top Bottom