Kisa cha kuchakachuliwa na mbaba wa miaka 60 vijana hawapo??? Siwezi kukubali bana sio fair
Kisa cha kuchakachuliwa na mbaba wa miaka 60 vijana hawapo??? Siwezi kukubali bana sio fair
hapa ndio nnapokupendea hapa. Yaani wewe acha tu
Kweli MR lakini nataka kujua unamjibu nini? Fikiria hapo kababa labda ni kabosi, na kenyewe kana mitego yake, hasahasa mapesa na kanajua kujieleza haswaa.
Ndio Ivuga, kwa hali ya kawaida huwezi kumkubalia, lakini imagine ka vile unavyomtokea mdada, vile mnavyokua mnaongea, halafu chukulia labda hakutaki.
Kwa haka kababu utamjibu nini? Na yuko kwene mazingira yako daily. Eg ni boss.
hahahah,wanajichekeshaga 2,na tamaa walzonazo watapapalika,hapo hajaznguliwa kuwa atapewa ka-spacio,lazma akubali,hakuna jibu la kupnga
hapa kwa wadada nawashauri wawe na mawasiliano na tamwa mapema kabisa au kuna mashirika mengi tu ya kutetea haki zao ...najua haya mambo yapo sana ila yanawapata wasiojua haki zao na waoga
Hudanganyika na nini? Am not your biological dady, and you are not a teeneger!! We ni mtu mzima.
Salamu kwenu wa dada wa JF, naomba kuuliza, hivi unapokutana na Mbaba mtu mzima labda miaka 60 hivi akakutaka kimapenzi unatoa jibu gani hasa ukiwa hukubaliani na matakwa yake?
Hasa pale inapotokea majibu yote ulionayo yy ana maswali yake.
Na maswali yote ulionayo yy ana majibu yake.
Hudanganyika na nini? Am not your biological dady, and you are not a teeneger!! We ni mtu mzima.
Bas nitamkubalia nimchune mpk mvi zake akome siku nyingine haha hahha hahahhaaaaaaaaaa
Mshiki pole.
Jibaba gani hilo linakuzengea? Kwa kuwa ni wewe ngoja nikupe msaada.
Mwambie "ntakuthemea kwa kakaangu babu athipilini". Akiendelea kukuletea za kuleta mwambie akupe namba zake za simu halafu nitumie. Ila msiba ukitokea usiache kuja kuniwekea dhamana. Sawa dada? USIDANGANYIKE na FATAKI huyo!
Ha hahaaa...LD bana...pole kwa mkasa uliokupata!...
Kwanza umesema umri wa Mbaba, lakini hujataja umri wa anayetakwa...suppose mdada ana 40s, sioni shida na hilo, maana hapa JF wapo wadada wengi tu wa umri zaidi ya huo, na naogopa unaweza usipate responce nzuri kwa swali lako kutoka kwa baadhi ya watu....hahahahaa!
Nakusikiliza!