Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Sasa mshiki ungekuwa huna vyeti vinavyouzika ndo ungemkabidhi hicho kikojoleo chako with all your love?
the human mind is the worlds largest filtering device
when used properly it filters out what you perceive as unimportant
and gives you only the information you are looking for at that time.
so be accurately aware of your aim in life........
am not interested with vibabuz,,halafu hata huo muda wakudate nae kumpa nafasi ya mjadala mrefu unatoka wapi,,,mapenzi siyo pesa kama anavyofikiri,is about feelings,true love,commitment etc,,hata kijana asipokupa chochote mwambie ndiye unayemfeel,then kwaheri babu
Ivuga....hapa kwa wadada nawashauri wawe na mawasiliano na tamwa mapema kabisa au kuna mashirika mengi tu ya kutetea haki zao ...najua haya mambo yapo sana ila yanawapata wasiojua haki zao na waoga
Ha ha ha kaka habari yako, unamuona mshiki anapata tabu ee, hebu mpe maarifa atatoka je hapa.
apa hakuna linaloshndikanaAm fine mamito wangu,you always make my day,i can not wait to enjoy your pumba day........Love you too!
Nikitongozwa na mbaba nafuata hatua zote ulizosema........nijipatie kiwanja na mie bwana bado thina eti na urembo wote huu,then namwambia umeshamaliza ANNIVERSARY YAKO ACHANA NA MIMI,akining'ang'ania nakimbilia kwako uongee nae najua hakuna unaloshindwa Rose wangu????????LOL
Hebu mtafute kungwi Rose.....she is an expert........
Caution: Kibabu cha kukupa mafao yako bila nanhii hakipo...
kwaiyo na wewe ni kungwi wa kiume?
bichau kungwi
mzee small pia kungwi!!!
Hebu mtafute kungwi Rose.....she is an expert........
Caution: Kibabu cha kukupa mafao yako bila nanhii hakipo...
Ivuga....
usichekeshe watu....Kila mtu ana akili kichwani mwake..unadhani wasichana wanalazimishwa? Kuna wenye kuwatongoza hao wababa na kuwaweka kwenye kona usiombe maana hizi ni zama nyingine za sexual revolution Bongo!
wengine pesa ya mbaba wanaitaka ila haiji for nothing.Wanataka waipate lakini wakwepe kulipa gharama.
Back kwa mtoa - msichana ukishaanza biashara na hawa watu ujue utabakia huko huko kuwa nyumba ndogo.JIBU UNALO KWA MAANA WEWE NDIO UNAJUA UNACHOKITAKA.UNATAKA PENZI LA MBABA AU MKWANJA WAKE AU HUTAKI HATA KIMOJA.
Kwa zile genuine cases za bughudha za maboss... unaweza kukataa politely , very firmly lakini uhakikishe kazi zako unazifany akwa uhakika; akiendelea tafuta kazi sehemu nyingine hasa kama una vyeti madhubuti na unajiamini kikazi.
Salamu kwenu wa dada wa JF, naomba kuuliza, hivi unapokutana na Mbaba mtu mzima labda miaka 60 hivi akakutaka kimapenzi unatoa jibu gani hasa ukiwa hukubaliani na matakwa yake?
Hasa pale inapotokea majibu yote ulionayo yy ana maswali yake.
Na maswali yote ulionayo yy ana majibu yake.
Salamu kwenu wa dada wa JF, naomba kuuliza, hivi unapokutana na Mbaba mtu mzima labda miaka 60 hivi akakutaka kimapenzi unatoa jibu gani hasa ukiwa hukubaliani na matakwa yake?
Hasa pale inapotokea majibu yote ulionayo yy ana maswali yake.
Na maswali yote ulionayo yy ana majibu yake.
Duuuuu baiolojia ya kibabu huyu, yaani third leg.
Lete msaada basi, hivi vingereza bana, aah na mi ndo wale tulosoma st Weruweru, st Mkwawa enzi hizo. Shule tunaongea kingereza ukimuona mwenye kibao cha speek english anakuja.
Mmmm katika list ya washauri wangu, wa leo wewe nakutoa. Hili jibu baya.