Mdada wa kazi anahitajika

proffesa

New Member
Joined
Aug 18, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Habari Wana jukwaa.
Mdada wa kazi anahitajika mshaara 50000 kwa mwezi
Majukumu

1 kukaa na mtoto , kumuhudumia , kimpa chakula nb mtoto ana mwaka na miez 2 Sasa
2. Kupika
3. Kufanya usafi ndani na nje ya nyumba nuyumb ni chumba sebure na choo ndani
Mahali ni dsm temeke

SIFA ZA MWOMBAJI
umri kwanzia miaka 15-24 akiwa anatokea humu humu Dar itapendeza zaid.
 
Kwa mshahara wa elfu50 kwa mwezi ni sawa na kumlipa 1600 kwa siku, yani ni sawa na kumnunulia plate ya ugali wa 1500 mghahawani..

Mama ntilie wanalipa 4000 kwa siku..

Wahindi wanalipa elfu 3500 (Si wote, baadhi)kwa siku..

Mkuu usitumie umaskini wa watu kama kigezo cha unyanyasaji wako.. kama huna uwezo lea mwenyewe..
 
Mtu unaishi chumba kimoja na sebule afu unataka dada wa kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…