Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
the moral of story???
kumbe nyani ngabu msukuma, ndiyomaana mshamba.
mkuu andika kiswahili, kujua kingereza haikutoi kwenye kundi la washamba.What kinda rock have you been hibernating under?
mkuu andika kiswahili, kujua kingereza haikutoi kwenye kundi la washamba.
Flaviana Matata ni msukuma wa mwanza sio Shinyanga
Soma hapaFlaviana Matata ni msukuma wa mwanza sio Shinyanga
mbona umepanic au dada yako
Anaweza akazaliwa Shinyanga au Mwanza na asiwe Msukuma...maana wengi humu tungeitwa wazaramo kwa mtindo huu
Huwa sipendi mtu kijidhalilisha hadharani wakati ni jambo dogo tu ku google.mbona umepanic au dada yako
Sasa Tatizo lako nini nikusaidie?Anaweza akazaliwa Shinyanga au Mwanza na asiwe Msukuma...maana wengi humu tungeitwa wazaramo kwa mtindo huu
ππππ lakini JF mnapenda kunivunja mbavu zangu sijui kwanini hahahahahahhah.mkuu andika kiswahili, kujua kingereza haikutoi kwenye kundi la washamba.