Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Mimi na bi mdogo ni wapenzi sana wa nguo na vitu vya Ralph Lauren kwa ujumla.

Sasa jana katika pitapita yetu kwenye duka lake [Ralph Lauren] wakati tukitafuta nguo za majira ya Fall tukakutana na picha za Flaviana Matata akiwa katika pozi mbalimbali za matangazo ya nguo za kike.

Nilifurahi sana kuona mdada wa Kitanzania akiwa ndani ya mwamvuli wa Ralph Lauren.

Huenda tayari wengine mnalijua hilo lakini kwangu ndo ilikuwa mara ya kwanza kumwona akitangaza bidhaa za RL.

Safi sana mdada. Wewe endelea kupiga kazi na kuwakilisha. Utafika mbali sana.

Bofya hapo kuona zaidi Silk Sleeveless Top


20161011_RLNA_Lrnshine_3.jpg
pPOLO2-24767905_alternate2_v400.jpg


pPOLO2-24767905_alternate1_t50.jpg
pPOLO2-24767905_alternate8_t50.jpg
 
Hongera zake, wazungu huko wanakula chakula cha kisukuma a.k.a wanakula michembe....
Kako vizuri Sana kadada hako
 
Hivi ukizaliwa Shinyanga na origin yako Tarime unakuwa MKURYA wa Shinyanga, au msukuma mwenye asili ya Shinyanga? Nawaza tu

The good thing she is doing great as MTZ nafurahi kuona kuna mtanzania anawatia moyo wenzake kujituma katika kazi. Mambo ya ukabila tupa kule.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom