Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
Mpenda sifa leo naona wamekuvua nguo ila badala uchutame unaendelea kuwatoa nduki.
Wanaojivua nguo ni hao ambao wameingia mkenge.

Laiti ungeujua ukweli hata wewe ungejidharau sana.

Mimi sio Ndjabu. Huyo jamaa ni tofauti sana na mimi.

Lakini kwa nyie makinda wa JF hilo hamuwezi kulijua maana mmedandia gari kwa mbele.
 
Hahaha shukrani mkuu wasije wakasema tunamsingizia!

Jamaa anapenda sana kujipa maisha ya classic kumbe hana lolote ni huo ugonjwa wake unamsumbua!! Halafu hataki kuwaona wanasaikologia wamsaidie!!
Napenda kujipa maisha classic?

Maisha classic ndo yakoje hayo?

Halafu wewe maisha yangu umeyajuaje?

Ushawahi kuniona ninavyoishi?

Hakika mwenye ugonjwa ni wewe ambaye unatangaza kuyajua maisha yangu ilhali hata hunijui na hujui nilipo.

Nani mgonjwa sasa hapo?

Ni dhahiri shahiri mgonjwa ni wewe. Tena unasumbuluwa na Ngabu Derangement Syndrome.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nampenda huyu dada ametulia na pia anajituma kwenye profession yake.

14355578_848399258624442_8284739673116202394_n.jpg
 
Nyani McGaye, come on bi.tch nigga? Act like you know, cause you know the real deal.

Hey sucker bitch...I only know of one real deal and that's the big hommie from the big ATL...

None other than the Real Deal Holyfield.

92508.png
 
Na huko kukutaja wewe na kukujadili nao ni ugonjwa gani vilee???
Ngabu Derangement Syndrome [emoji23] [emoji23].

Sasa hivi kila mtu anahisiwa kuwa ndo mimi ukiwemo wewe.

Yaani wewe ndo mimi na mimi ndo wewe.

Eti huwa najifanya demu halafu najitongoza mwenyewe.

Hawa watu wana imaginations za ajabu kweli.

Eti najitukana halafu najikwoti mwenyewe najitukana tena.

So nonsensical!
 
Wee Nyani Ngabu nimegundua wee lazma utakuwa una sumbuliwa na ugonjwa wa GRANDIOSE DELUSIONAL DISORDER Kama jamaa alivyo sema hapo juu!

Ndjabu Da Dude hii id ni ya kwako 100%!

Ulicho kifanya ulichukua baadhi ya maneno kwenye ile id yako ya zamani ambayo jf wali unganisha na hii id yako unayo tumia sasa! Id uliyo chukua
Maneno inaitwa (Floribert Njabu)

Ulicho kifanya wewe ni kutoa maneno kwenye id ya floribert njabu na kuunda id ambayo ndiyo unayo tumia kujiongelesha na kujitukana mwenyewe

(Ndjabu)=(Njabu)

Unacho kifanya ni utoto au ubongo wako 95% una matatizo!!

Fake id zako nyingine ni:
-Nyani MacCain
-Floribert Njabu
-Omega Psi Phi

Hizo zote ziliunganishwa baada ya jf kugundua michezo yako!!

Bado una id nyingine za kike!!

Mkitaka kuamini huyu jamaa ana matatizo ya akili alikuja na fake id kabla haijaunganishwa na kujitangaza kuwa kafa

hiyo thread hii hapa chini
Nyani Ngabu kafa!!
Hahahahahahahaaaa Jambaziii, kazi nzuri sana hii... Huyu dogo ana matatizo makubwa sana ya akili.. Mtu anayejitangaza kafa leo anakataa kwamba hajitukani na kujijibu. Tena alivyo mjinga anajitukania mama kabisa... hehehehe huyu dogo ana vituko kweli kweli..
 
Ngabu Derangement Syndrome [emoji23] [emoji23].

Sasa hivi kila mtu anahisiwa kuwa ndo mimi ukiwemo wewe.

Yaani wewe ndo mimi na mimi ndo wewe.

Eti huwa najifanya demu halafu najitongoza mwenyewe.

Hawa watu wana imaginations za ajabu kweli.

Eti najitukana halafu najikwoti mwenyewe najitukana tena.

So nonsensical!
Wangejuaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja ninyamaze nilale mie mdomo komaaaaaaaa
ila unafatiliwaaa aisee
 
Ehehehe njoo basi wasap nikupe ubuyu
Ahahaaaa eti najiita mwenyewe nije whatsap nijipe ubuyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Halafu umeona...mara niitwe dogo....mara niitwe babu....mara niitwe mzee....yaani ili mradi tu.

Imagine sasa wangekuwa wananijua jina langu la ukweli na naishi wapi....ingekuwa balaa humu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom