Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
Gay boy, listen.

Kuna watu hapa wamesema kuwa eti wewe ndo mimi.

Kwamba naandika najitukana halafu najijibu mwenyewe.

Ain't no way a sucker bitch like you can be me.

Now go eff yourself.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe uliyetoa huo mfano ndiye unajua Mtu A ni nani na barua ni ipi...Unataka nikujibie ilhali jibu unalo?...

Ila kwa mtu B tayari nimekuambia...Ni wewe...
Barua ni ujumbe nilioupost kwenda kwa mtu A ambaye ni NN, ndiyo maana nilimquote yeye.Mtu B ni wewe, mwendawazimu uliyepokea quotation ya mtu mwingine na kuijibu kana kwamba ni ya kwako.....Natumaini utaelewa sasa maana umedhihirisha kuwa akili yako ni nyepesi kama protector za MSD,haiwezi kudadavua mada tata.
 
Mkuu kwa niaba yangu naomba huyo jamaa mpuuzie usimpe airtime ya kuendelea kuchat nae!! Utajishushia hadhi kuendelea kujibizana nae naona hana point!!
Wacha tumsaidie, kuna watu wanalazimisha ule utafiti wa 1:4 uwe wa kweli.
 
Aisee...kweli mi ni homa ya JF!

Yaani njemba zima linajipinda eti kuniandikia barua!

Who does that?

Anyway karibu kwenye fan club yangu.
 
Nikupe changamoto: jaribu kukaa hata siku moja bila kuniwaza.

Ukifanikisha ntakupa bonge la zawadi maana wewe ndo my number one fan.

hujanijibu bwanaaa,
Ulikuwa unamtamani maza ako?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Live mazeee,
Ile comment ya Daudi imepata likes kibao.
Jamaa anadhani ndiyo kuonyesha msimamo
 
Maana yangu ya kukutumia ule ujumbe siyo kuanzisha mijadala isiyo na tija wala mwisho.Wewe jitetee hapa JF kuokoa heshima yako iliyosalia ila baadae kaa utulie alafu utafakari mambo yanayokusibu.

Kila mtu anayekuambia una tatizo, wewe unabisha kwa kusema wanajiproject kwako.Siyo mbaya kusema hivyo kama gear ya kujilinda ila baada ya kulog out jitafakari na ujiulize kwa nini watu mbalimbali wanasema una tatizo? tena tatizo la kufanana?

BTW matatizo ako hayamuathiri mtu mwingine kwa namna yoyote ile, hata kidogo.Lakini kwa kuwa JF ni sehemu tunayokutana na kujadili mambo mbalimbali, siyo mbaya tukajadili na yasiyo ya kawaida.Washukuru member waliokufanyia diagnosis, sasa hangaika kupata tiba.
 
Lakini mbona hata wewe ndo mimi huyu huyu.[emoji23]

Sasa kwa nini ujikwoti na kujipa ushauri?

Lazima utakuwa mgonjwa wewe.
 

Ona sasa....umeanza kutukana...dalili ya kitu kupenya hiyo.

Thibitisha kuwa nimemtukana mama yangu.

Kusema tu mimi nimemtukana mama yangu na kudai watu wanaonitukana humu kuwa ndo mimi si uthibisho.

Zaidi ya hapo wewe unayeamini maruerue yako ndo mwenye matatizohalafu unaishia kuya project hayo matatizo yako kwangu.

Onyesha sasa nilipomtukana mama yangu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…