Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
WACHA NIYASEME:

Mkuu NN katika watu niliowaheshimu na kuwakubali hapa JF hata kabla ya kujiunga ni wewe.Nilidhani una fikra za kiutu uzima zilizokomaa.Kila ulichokipost hapa nilikifungua na kusoma nikiamini ni mawazo chanya yenye kujenga.

Lakini kwa huu utumbo ulioufanya umejishushia heshima sana! huna tofauti na wale mademu wa CBE waliopata DIV.5. Afadhali wao wanaishi kwenye reality ya ujinga wao maana inakuwa rahisi kuwasaidia.

Nadhani una matatizo makubwa sana kuliko unavyojua wewe ama tunavyoweza kudhania.Kwanza mada zako za hivi karibuni umekuwa na msimamo wa kuyumba mno.Huna uti wa mgongo wa kusimama peke yako kifikra.

Kubwa zaidi ni wewe kujitukana matusi ya nguoni na kumuhusisha Mama yako.Unawezaje kutumia ID nyingine kujitukana? au ilikuwa ngao ya kukwepa upinzani wa baadhi ya wachangiaji kwenye mada yako[ambayo nayo ni upuuzi mtupu]?.Ulifikiri watu wangejiunga na ID2 kukutukana kwenye ID1 ili hali wewe ukiwacheka nyuma ya PC na Tab.?....Elewa kitu kimoja, unaweza kuficha ID ila siyo mawazo.

Jambo lingine, hizi tuhuma ulizorushiwa na baadhi ya wachangiaji kama Jambazi , FisadiKuu n.k za kwamba una matatizo ya kiakili huenda zikawa kweli.Kwa jinsi ulivyokuwa unajamba jamba hapa jukwaani inaonesha una genes za ushoga zilizo active.Ndizo zinazo dictate ubongo wako na kukufanya uwaze ushoga kwa kiasi kikubwa.Kuwa na gene za ushoga kwenye mwili wa ME lazima upate mkanganyiko wa kiakili, because it is an existence of a spirit in a wrong body.

USHAURI WANGU:
Jitahidi kuwaona wataalumu wa psychology na washauri wa magonjwa ya akili wakusaidie.Najua unapinga maono ya wajumbe lakini huo ndio uhalisia.UNA ACTIVE GENES ZA USHOGA ZENYE KUKUSABABISHIA MENTAL DISTURBANCE! JITAHIDI KUWAONA PSYCHIATRISTS.
Umemaliza.. Siongezi chochote
 
Wewe dada nikuombe tu usiingilie yasiyokuhusu. Mimi na wewe hatujawahi kuwa na matani hata siku nanapenda iendelee kuwa hivyo.
Be a Lady Fanya yako, na nikuombe siku nyingine ukiona Mimi nataniana na Ngabu ukae pembeni au pita tu.
Nadhani tumeelewana.
Hujamzoea huyo?? Huyo ni wa kumpuuzia, anataka kutembea kwenye spotlight isiyomuhusu
 
Hivi kweli kabisa unaamini mimi ndiye Ndjabu Da Dude?

Mimi siyo huyo jamaa. Hapo mmepotoka mno.

Lakini kwa nini tuandikie mate wakati wino upo?

Mwiteni Invisible aje akate mzizi wa fitna.

Kujifanya mnajua ilhali hamjui na hamjui kuwa hamjui ni tatizO kubwa zaidi kuliko hilo ambalo mnadai mimi ninalo.

Narudia tena, mimi sio Ndjabu. Na wala sina tatizo. Tatizo unaweza kuwa nalo wewe. Jiangalie.

Pia, hebu bonyeza basi kitufe cha Report uwaambie kuwa mimi ndo Ndjabu nakuja hapa najitukana mwenyewe halafu najijibu mwenyewe kwa kutumia ID ingine.

Ni report ili waziunganishe hiyo ID ya jamaa na yangu, kama ni kweli mimi ndo yeye.

Au ngoja niwaalike mimi mwenyewe.

Maxence Melo Mike Mushi Invisible Paw AshaDii Cookie JamiiForums

Nyie powers that be, hebu njooni hapa mkate mzizi wa fitna. Eti mimi ndo Ndjabu Da Dude?

Kama mimi ndo yeye basi nipigeni ban ya maisha humu JF.

Si vizuri kuwaacha members wenu wawe kwenye lindi la ujinga namna hii. Njooni muwasaidie kuwafuta ujinga.
We dogo kuna boya mwenzako yule Matola alikataa ID yake hivyo hivyo lakini after a year zikaja kuwa merged. Endelea kuikataa lakini ipo siku hizi ID zitaunganishwa na ndipo utaumbuka..
 
Bwaahaaaa bwahaaaaa.
Huna huo uwezo wa kutuma kitu kinifikie mimi ila mimi naweza kutuma kikakufikia bila shida.
Teh teh teh teh teh teh.
Haya tuma picha kwa supastaa wako nami nitaisaini nikirudishie[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mhhhhhhhhh,
Hivi wewe jamaa hawatindui marinda kweli?
Maana ndoto nyevu huwa tunapata wanaume tu na siyo mademu.
Lazima utakuwa timu pinzani wewe siyo bure kabisaaaa.
Maneno gani ya kuongea na mwanaumwe haya?


FisadiKuu na Jambazi njoo muone wenyewe.
Hata kama matusi huwezi kuzungumza hivi kama wewe ni mwanaume lijali.
Aiseeeee!!!!
Hehehehehehe si anajiita shoga na kujitukania mama.. Unashangaa yeye kuwa na ndoto nyevu
 
Kusema ukweli "What happens in JF stays in JF" huwa sitoki na kitu hapa.
Na kwa bahati mbaya huwa nafahamu kama wewe upo hapa duniani pindi ninapokuwa humu ndani tu.
Lakini zaidi ya hapo huwa siwazi kingine zaidi ya kuwaza kumwandalia dada Bensouda report za akina Joseph Konyi, Ntaganda, Rich Machar na wengineo. Hawa ndiyo huwa nawawaza masaa yote kwasababu wanaushawishi mkubwa hapa duniani.
Wewe huna umuhimu wowote nje ya JF hadi ufanye mimi YOUNG MALCOM nikuwaze hata kidogo tu.
Huwa anashindaga humu na hao mahouse girl wake.. Hanaga kazi za kufanya huyo.. Maisha ya JF anayachukulia serious kweli kweli maana hana maisha mengine zaidi ya haya..

kui
 
Hehehehehehe si anajiita shoga na kujitukania mama.. Unashangaa yeye kuwa na ndoto nyevu

Hahaa ila tuseme za ukweli huyu jamaa ana matatizo ya akili.
Kama ndiyo anamtukana mama yake basi ni dhahiri ana laana kubwa.
Maana naskia kuna siku alishawahi sema alikuwa anamtamani sana mama yake wakati mtoto kiasi cha kumchukia baba yake.
 
Yooh bruv how you doin!
Nimemuangalia sana sema nikasema.
She's awfully too small to be hugely irritating.
But can't disagree she's a modern day Rosalie Duthe.
teh teh teh teh teh
Hahahahaha unaweza kuhisi yeye ni wa namna gani..

Been iight bruv.. Check yo PM.. I've something new
 
Hivi unaweza kupitisha hata lisaa limoja hujaniwaza?

teh teh teh teh teh.
Naskia ulikuwa unamtamani mama yako wakati mtoto na ukaandika humu eti kweli?
Daaaah kumbe kinachokutesa ni laaana tena.
Bwahaaahhahaaaaaaaaaaa
 
Mimi na bi mdogo ni wapenzi sana wa nguo na vitu vya Ralph Lauren kwa ujumla.

Sasa jana katika pitapita yetu kwenye duka lake [Ralph Lauren] wakati tukitafuta nguo za majira ya Fall tukakutana na picha za Flaviana Matata akiwa katika pozi mbalimbali za matangazo ya nguo za kike.

Nilifurahi sana kuona mdada wa Kitanzania akiwa ndani ya mwamvuli wa Ralph Lauren.

Huenda tayari wengine mnalijua hilo lakini kwangu ndo ilikuwa mara ya kwanza kumwona akitangaza bidhaa za RL.

Safi sana mdada. Wewe endelea kupiga kazi na kuwakilisha. Utafika mbali sana.

Bofya hapo kuona zaidi Silk Sleeveless Top


20161011_RLNA_Lrnshine_3.jpg
pPOLO2-24767905_alternate2_v400.jpg


pPOLO2-24767905_alternate1_t50.jpg
pPOLO2-24767905_alternate8_t50.jpg
Acha uongo duka elionea wakati we mbagala? Ume google?
 
Bwahaaaaaaa daaaaaaah!
Wanasema ukishaona kwenye jamii kila mtu hakupendi ujue basi wewe ndiye mwenye matatizo..

Nimesoma maelezo ya jamaa kule juu akionyesha ukichaa na ushoga wa Nyani imepata Likes nyingi sana. Lakini majibu ya Nyani ya kujitetea mpaka akajitutumua kuita Mods hayana Like hata moja..

Ukishaona kila mtu yuko against you inabidi ukae na ujitafakari.
 
teh teh teh teh teh.
Naskia ulikuwa unamtamani mama yako wakati mtoto na ukaandika humu eti kweli?
Daaaah kumbe kinachokutesa ni laaana tena.
Bwahaaahhahaaaaaaaaaaa
Nikupe changamoto: jaribu kukaa hata siku moja bila kuniwaza.

Ukifanikisha ntakupa bonge la zawadi maana wewe ndo my number one fan.
 
Eti "Bofya hapo kuona zaidi Silk Sleeveless Top". This is so gay, Nyani McGaye! Mwanaume mzima rijali mwenye akili zake timamu, umri wa 40+ hawezi andika us.enge kama huu. That being said, if it looks like a duck, swims like a duck, and quacks like a duck, then it gotta be a duck.
Kheeee umerudi tena wewe? Nilidhani umeaga kimoja kumbe wapi.

Na ni fan wa NN[emoji23]

Sasa unajikwoti nini bana?

Yaani unajiita mwenyewe shoga?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom