Hivi kweli kabisa unaamini mimi ndiye Ndjabu Da Dude?
Mimi siyo huyo jamaa. Hapo mmepotoka mno.
Lakini kwa nini tuandikie mate wakati wino upo?
Mwiteni Invisible aje akate mzizi wa fitna.
Kujifanya mnajua ilhali hamjui na hamjui kuwa hamjui ni tatizO kubwa zaidi kuliko hilo ambalo mnadai mimi ninalo.
Narudia tena, mimi sio Ndjabu. Na wala sina tatizo. Tatizo unaweza kuwa nalo wewe. Jiangalie.
Pia, hebu bonyeza basi kitufe cha Report uwaambie kuwa mimi ndo Ndjabu nakuja hapa najitukana mwenyewe halafu najijibu mwenyewe kwa kutumia ID ingine.
Ni report ili waziunganishe hiyo ID ya jamaa na yangu, kama ni kweli mimi ndo yeye.
Au ngoja niwaalike mimi mwenyewe.
Maxence Melo Mike Mushi Invisible Paw AshaDii Cookie JamiiForums
Nyie powers that be, hebu njooni hapa mkate mzizi wa fitna. Eti mimi ndo Ndjabu Da Dude?
Kama mimi ndo yeye basi nipigeni ban ya maisha humu JF.
Si vizuri kuwaacha members wenu wawe kwenye lindi la ujinga namna hii. Njooni muwasaidie kuwafuta ujinga.