Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
Eeeehhhh...si umesema utanisaidia...vepe sasa?
Wewe si umesema unatafuta mwanamke wa kuoa? Nimekushauri endelea kutafuta. Au unataka nikushauri unavyotaka wewe? Vepeee wewe?
 
huyu si ni nshomile,
Ndio maana nimeanza kutilia shaka hizi info...mi siku zote najua ni mtu wa Karagwe huko...Shinyanga kazaliwa tu...ndio maana mama yake alifariki MV bukoba akielekea kwao...

Hata ukicheki harusi yake mavazi waliyovaa Wazee wake ni ya mila za kihaya (kanzu)...
Maybe msukuma bana...maana mi haya nimeyajua thru media
 
Hii ingependeza zaidi;

Nilifurahi sana kuona mdada wa nyumbani kabisa [Tanzania] ...


Unless hii window shopping mlikuwa mnafanya Kariakoo labda huenda thread yako ingeleta mantiki kidogo!

Nyumbani kabisa ni Shinyanga.
 
tatizo mwemamba mno.
 
Oya huyu demu sio mhaya?
 
Amedanganya umri?Alikiwa mbele yangu miaka niwili arusha tech.Hivi ameshachomoa supplementary yake Arusha tech?Anadanganya watu amemaliza chuo kikuu.Trump hajamwabuse.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…