Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
Amedanganya umri?Alikiwa mbele yangu miaka niwili arusha tech.Hivi ameshachomoa supplementary yake Arusha tech?Anadanganya watu amemaliza chuo kikuu.Trump hajamwabuse.

Wajukuu wa mbosoli bwana mtoto mwenyewe umesoma OD una jitokeza kifua mbele kuongelea watu wa FTC huna unacho jua kaa kimya!
 
Safi sana kimya kimya dada yetu anajua,ingekua mishamba mingine hapo tusingekula bata wiki 2
 
Reactions: iw8
Amedanganya umri?Alikiwa mbele yangu miaka niwili arusha tech.Hivi ameshachomoa supplementary yake Arusha tech?Anadanganya watu amemaliza chuo kikuu.Trump hajamwabuse.
Ni mzuri na amependeza ila nahisi ni kweli kuwa amedanganya umri na alizaliwa 1986 nakumbuka kabisa akishasema tokea akiwa Arusha.

Halafu mimi nilifikiri ni muhaya.
 
Flaviana matata sio msukuma, ni mnyambo.
 

Mkuu nikikwambia hii ipeleke jukwaa la biashara au matangazo mdogomadogo nitakua nakosea/nakuonea?
 
Nampenda sana flaviana matata anafanana na mdogo wamgu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…