mwarabuwadubeii
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 661
- 651
Flaviana Matata ni mnyambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amedanganya umri?Alikiwa mbele yangu miaka niwili arusha tech.Hivi ameshachomoa supplementary yake Arusha tech?Anadanganya watu amemaliza chuo kikuu.Trump hajamwabuse.
Achana naye huyo. Mtaonekana wote'the moral of the story'
Safi sana kimya kimya dada yetu anajua,ingekua mishamba mingine hapo tusingekula bata wiki 2Mimi na bi mdogo ni wapenzi sana wa nguo na vitu vya Ralph Lauren kwa ujumla.
Sasa jana katika pitapita yetu kwenye duka lake [Ralph Lauren] wakati tukitafuta nguo za majira ya Fall tukakutana na picha za Flaviana Matata akiwa katika pozi mbalimbali za matangazo ya nguo za kike.
Nilifurahi sana kuona mdada wa Kitanzania akiwa ndani ya mwamvuli wa Ralph Lauren.
Huenda tayari wengine mnalijua hilo lakini kwangu ndo ilikuwa mara ya kwanza kumwona akitangaza bidhaa za RL.
Safi sana mdada. Wewe endelea kupiga kazi na kuwakilisha. Utafika mbali sana.
Bofya hapo kuona zaidi Silk Sleeveless Top
![]()
![]()
![]()
![]()
Imekuuma eeh.Wajukuu wa mbosoli bwana mtoto mwenyewe umesoma OD una jitokeza kifua mbele kuongelea watu wa FTC huna unacho jua kaa kimya!
mkuu mwambie hyo ni kawaida tu, je angemgonga demu wangu si ndo angezimia huyo!!!?Hahah kuna watu wanapenda sifa!!
Kuna mshkaji kani Pm eti ananambia alisha gonga sana huyo demu! haha!
Mshamba ni mtu wa namna gani?Mleta mada ni mshamba...
Ni mzuri na amependeza ila nahisi ni kweli kuwa amedanganya umri na alizaliwa 1986 nakumbuka kabisa akishasema tokea akiwa Arusha.Amedanganya umri?Alikiwa mbele yangu miaka niwili arusha tech.Hivi ameshachomoa supplementary yake Arusha tech?Anadanganya watu amemaliza chuo kikuu.Trump hajamwabuse.
Flaviana si msukuma ni Mnyambo wa KaragweFlaviana Matata ni msukuma wa mwanza sio Shinyanga
Flaviana matata sio msukuma, ni mnyambo.Mimi na bi mdogo ni wapenzi sana wa nguo na vitu vya Ralph Lauren kwa ujumla.
Sasa jana katika pitapita yetu kwenye duka lake [Ralph Lauren] wakati tukitafuta nguo za majira ya Fall tukakutana na picha za Flaviana Matata akiwa katika pozi mbalimbali za matangazo ya nguo za kike.
Nilifurahi sana kuona mdada wa Kitanzania akiwa ndani ya mwamvuli wa Ralph Lauren.
Huenda tayari wengine mnalijua hilo lakini kwangu ndo ilikuwa mara ya kwanza kumwona akitangaza bidhaa za RL.
Safi sana mdada. Wewe endelea kupiga kazi na kuwakilisha. Utafika mbali sana.
Bofya hapo kuona zaidi Silk Sleeveless Top
![]()
![]()
![]()
![]()
Haha! we ni waziri nini mkuumkuu mwambie hyo ni kawaida tu, je angemgonga demu wangu si ndo angezimia huyo!!!?
hapana mkuu, ila demu wangu mkali mpaka naogopaHaha! we ni waziri nini mkuu
Mimi na bi mdogo ni wapenzi sana wa nguo na vitu vya Ralph Lauren kwa ujumla.
Sasa jana katika pitapita yetu kwenye duka lake [Ralph Lauren] wakati tukitafuta nguo za majira ya Fall tukakutana na picha za Flaviana Matata akiwa katika pozi mbalimbali za matangazo ya nguo za kike.
Nilifurahi sana kuona mdada wa Kitanzania akiwa ndani ya mwamvuli wa Ralph Lauren.
Huenda tayari wengine mnalijua hilo lakini kwangu ndo ilikuwa mara ya kwanza kumwona akitangaza bidhaa za RL.
Safi sana mdada. Wewe endelea kupiga kazi na kuwakilisha. Utafika mbali sana.
Bofya hapo kuona zaidi Silk Sleeveless Top
![]()
![]()
![]()
![]()
Nampenda sana flaviana matata anafanana na mdogo wamguMimi na bi mdogo ni wapenzi sana wa nguo na vitu vya Ralph Lauren kwa ujumla.
Sasa jana katika pitapita yetu kwenye duka lake [Ralph Lauren] wakati tukitafuta nguo za majira ya Fall tukakutana na picha za Flaviana Matata akiwa katika pozi mbalimbali za matangazo ya nguo za kike.
Nilifurahi sana kuona mdada wa Kitanzania akiwa ndani ya mwamvuli wa Ralph Lauren.
Huenda tayari wengine mnalijua hilo lakini kwangu ndo ilikuwa mara ya kwanza kumwona akitangaza bidhaa za RL.
Safi sana mdada. Wewe endelea kupiga kazi na kuwakilisha. Utafika mbali sana.
Bofya hapo kuona zaidi Silk Sleeveless Top
![]()
![]()
![]()
![]()
Huo wembamba ndo unaomuingizia pesatatizo mwemamba mno.