Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
huyu si ni nshomile,

Oya huyu demu sio mhaya?

Flaviana Matata ni mnyambo

Flaviana matata ni mnyambo wa kagera,lakini amekulia shinyanga na hata send off yake ilifanyika shytown


Halafu mimi nilifikiri ni muhaya.


Flaviana si msukuma ni Mnyambo wa Karagwe

Flaviana matata sio msukuma, ni mnyambo.
Hii ndiyo JF bana.
 
Flav ni mnyambo,though wanyambo wengi ni wanyarwanda,warembo wengi wanaotokea kagera ni wanyarwanda waliokulia karagwe wao au wazazi wao..nna proves.!!
 
Only a decrepit old geezer like you would imagine shit like that.

I got enough money to lure and dick your sister until she loves me.

By the way, is she still in the Queen city?
hahahahahaha Jamaa una mambo ya kitoto sana wewe... Sasa kujiongelesha mwenyewe na kujijibu ili iweje??

Hivi ni lini utakuwa we dogo???
 
hahahahahaha umeona eeehh... Jamaa ana mambo ya kitoto sana...

Yani anajitukana na kujijibu hehehehehe... Daaahh dunia haiishi vituko. His life might be too boring..
Anachokosea anasahau unandishi anaotumia kwenye ID moja ndio huo huo anautumia kwa ID nyingine

Huyu ni mtu mmoja sasa sijui motive yake ni nini kujitukana na kujijibu mbaya zaidi anayemtukana ni mama yake mzazi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…