Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
Anachokosea anasahau unandishi anaotumia kwenye ID moja ndio huo huo anautumia kwa ID nyingine

Huyu ni mtu mmoja sasa sijui motive yake ni nini kujitukana na kujijibu mbaya zaidi anayemtukana ni mama yake mzazi
hahahahahahaha huyu dogo ni kama ana ukichaa fulani... Nadhani huko aliko hana marafiki, no outing, no nothing. Ni JF ndiyo inamkeep company. Ndio maana anajitangazia dhahiri ana maadui humu. His life is all about JF dramas.

Sasa leo ndio ananiacha hoi, kujitukana na kujijibu mwenyewe.. Ana multiple ID's mpaka nyingine ni za kike.. Kuna wakati anajifanya mwanamke kabisa na waweza fikiri hivyo. Hii habari ya kujichatisha na kujijibu mwenyewe ni kawaida yake kabisa.. Huwa anafanya hivyo kwa ID zake kadhaa ili watu wamwone ni Mmarekani na anajua kingrezaa..
 
O
hahahahahaha Jamaa una mambo ya kitoto sana wewe... Sasa kujiongelesha mwenyewe na kujijibu ili iweje??

Hivi ni lini utakuwa we dogo???

Only pussy Miss nGAYbu knows since birth is the one she came out of.
 
hahahahahahaha huyu dogo ni kama ana ukichaa fulani... Nadhani huko aliko hana marafiki, no outing, no nothing. Ni JF ndiyo inamkeep company. Ndio maana anajitangazia dhahiri ana maadui humu. His life is all about JF dramas.

Sasa leo ndio ananiacha hoi, kujitukana na kujijibu mwenyewe.. Ana multiple ID's mpaka nyingine ni za kike.. Kuna wakati anajifanya mwanamke kabisa na waweza fikiri hivyo. Hii habari ya kujichatisha na kujijibu mwenyewe ni kawaida yake kabisa.. Huwa anafanya hivyo kwa ID zake kadhaa ili watu wamwone ni Mmarekani na anajua kingrezaa..
hahaha! Mkuu una kesi ya kujibu kwa kunivunja mbavu zangu walai!
 
hahahahahaha Jamaa una mambo ya kitoto sana wewe... Sasa kujiongelesha mwenyewe na kujijibu ili iweje??

Hivi ni lini utakuwa we dogo???
Ni kweli jamaa ana id zaidi ya 2 ana comment na kujitukana yeye mwenyewe! Inaonekana jamaa ana matatizo ya akili au ana msongo wa mawazo, au maisha kwake yanaonekana yamemtaiti sana! Awaone wataalam wa saikologia wanaweza kumsaidia!!
 
Sema wee na kaka poa mkiwa mnajivinjari katika harakati za fall window shopping. Ma Gay mnajulikana kwa kujisifu. Ukweli ni kuwa una pesa ya kununua HEAVILY discounted Ralph Lauren hat na soksi tu dizaini ya 75% off original price.
Asubiri black friday it will be soon.
 
Asubiri black friday it will be soon.

Mambo ya 75% off of already 75% discounted me4chandise. Vinginevyo watakuwa wanafurahia window shopping Polo RL throughout the four seasons kama hobby yao.
 
Hongera sana Flaviana Matata ongeza juhudi zaidi katika kazi zako kuitangaza Tanzania upate tunzo nyingi za kimataifa na wengi watajifunza kutoka kwako.
 
Ni kweli jamaa ana id zaidi ya 2 ana comment na kujitukana yeye mwenyewe! Inaonekana jamaa ana matatizo ya akili au ana msongo wa mawazo, au maisha kwake yanaonekana yamemtaiti sana! Awaone wataalam wa saikologia wanaweza kumsaidia!!
Matatizo ya akili na msongo wa mawazo.
 
Wee una id ngapi hapa jf umekuja na hii tena unaanza kujireply mwenye kama kichaa!
Nina Id moja. Kama unaishi US unajua kuwa baada ya Halloween kuna black friday ambayo watu hata asiyeenda shop atakwenda hasa low income people. Kama hujaishi US keep quite. Mimi siyo huyo unayemhisi. Am me and will be me until I seize to be a member in JF.
 
Kumbe na wewe umeona! Ngabu kuna watu anawanyima usingizi humu.
Sio tu nawanyima usingizi. Ni kwamba Ngabu kayatawala mawazo yao hadi wanakuwa wanadhani kila anayepost humu na kunitukana eti ndo mimi mwenyewe.

Hata hapa sitashangaa wakidai wewe ndo mimi. Kwamba nimeandika na kujinukuu mwenyewe.

Talk about hallucinations...[emoji23] [emoji23]

Maziku Masunga ndo Nyani Ngabu[emoji23] [emoji23]

Hata Kasinde ndo huyo huyo Nyani Ngabu

Dinazarde naye ndo huyo huyo Nyani Ngabu

Valentina naye ndo Nyani Ngabu

Honey Faith naye ndo Nyani Ngabu

shunie naye ndo Nyani Ngabu

Wenye kumfuatilia Ngabu wana kazi kweli kweli.

Ipo siku hata vivuli vyao watadhani ndo Nyani Ngabu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom